Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Ndege ya Lisu Naiona Inaanza Kutua sasa hivi 1:20 pm
ETH 805
hoyoooo inatuaa
WOOOOOOOOO
YOOOOOOO
 
Dakika moja imebaki tafadhari, Basi tusimame dakika moja ili kumpa heshima yake mgeni wetu huku akiikanyaga ardhi ya Nchi yake.
 
Kweli siasa nzito
Mbowe kaingiwa na wivu baada ya kuona Tundu Lisu amekubalika zaidi ya nyalandu ambaye sasa anachepuka na mdee na pia mbowe anataka kuvuta pesa toka CCM awawekee garasa nyalandu ili CCM washinde kiwepesi lakini yeye katengeneza pesa, hii ndiyo hali halisi.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom