Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Leo tuone vurugu zitaanzia wapi. Ki asili watanzania sio watu wafujo. Ni kweli sisi ni watu maskini lakini tunakula dagaa na maharage tunalala kwa amani. Tunajuliana hali.

Tunaombeana memana kusaidiana kwa uwezo wetu. Kuna kakikundi kalitaka kutubadilisha asili yetu. Na kashindwe Kwa jina la Masiha Yesu Kristo wa Nazereth. ( Nb. Kuna yesu wa chatle pia)
Watanzania huwa ushabiki mwingi tu ka wa Simba na Yanga watu wakitoka wanatulia majumbani, nidhamu ka hii imgetumika hivi ungekuta Tundu lissu hajapigwa risasi nyingi na image ya nchi isinge chafuka hvo Hadi kukosa misaada kizembe, itakuwa tu ni wahuni wachache wasio wazoefu walipanga Hilo shambulio la ajabu kwa nchi yetu
 
Kwa jinsi ambavyo hatuchukui tahadhari kama nchi zingine za Ulaya na Marekani, mantiki inaniongoza kufikiri kwamba sisi tulio masikini na tusio na mifumo mizuri ya kutokea huduma za afya, ndiyo tungeathirika zaidi na athari zake zingeonekana waziwazi maana vifo vingekuwa vingi mno, hata kama haiui papo kwa hapo.

Mimi nina ukoo mkubwa sana. Lakini sijasikia msiba wala misiba popote pale.

Mtaani kwetu nako hivyo hivyo. Hatujapewa taarifa za msiba wala misiba ya majirani!

Na tokea hiyo Corona ianze, ni mwezi wa ngapi sasa huu?

Wewe kwenye ukoo wako na mtaani kwako huku Tanzania, umefiwa na wangapi kutokana na Corona?

Hata mimi nina ukoo mkubwa lakini tofauti na wewe misiba imetuandama. Lakini hamna anaefariki kwa Corona.

Amandla...
 
Back
Top Bottom