Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Ule mradi ulisababisha watu wakabakj na vilema vya maisha, lkn leo hii umesahaulika tayari.
Miaka zaidi ya 50 unazungumzia miradi ya umeme. Kulikuwa na mradi wa umeme wa gas na bado tunanunua bei ghali kuliko wasio na gas.

Unaongea miradi bongo!
 
Wageni gani?? Hawa hawa wa Burundi, Rwanda, Sudani na Wengine kutoka Somalia ndio wamuogopeshe Magu?? No, big No!
Umewaona hao tu? Amini kile utakacho mkuu_ au unataka kusema ccm wamebadilika?
 
Kwendaaaa uko mnafiki mmoja wa ccm.

Weken mpira kati, Refa asiwabebe.. LISSU ANASHINDA ASUBUH KWEUPE.


Ipo hivi, watu wanataka kuona CCM inatoka madarakani km vilivyo vyama vikongwe Afrika.


Nyambafu.


Heheee kweli hisia zinakuendesha. Umesahau lilivyowashuka December 2015 baada ya mafuriko yote, nyomi zite pamoja na kudeki barabara?

Wekeni akiba ya maneno.

Tundu will not be the President of URT.
 
Hongera sana waziri wa kazi
Bado nipo nimepokea picha zaidi ya mia tano za Msafara wa Lisu, mm ni ccm damu damu lakini ukweli usemwe tu, Lisu ana nguvu ya kiushawishi isiyo ya kawaida...

Tanzania ni kama vile tumesha sahau kama kuna msiba wa kitaifa...

na report kutoka hapa Illinois Marekani mm ni Waziri wa kaskazini Jf
 
Back
Top Bottom