Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Hiyo ni law #7 LAW 7: GET Others to do the work for you, but ALWAYS take the credit!Use the wisdom, knowledge, and legwork of other people to further your own cause.

Mzee anawatuma watu Bungeni kutetea kikokotoo, then anatoka hadharani kukivunja.
Uko sahihi kabisa hicho kitabu kwangu ni best book Sana kina Mambo mazuri mno ya kufundisha na kufuraisha pia mwandishi ana kitabu kingine laws of human nature nacho kina madini mengi.

Halafu mzee baba hapo get other's to do the work for you, but always take the credit ameitumia Sana sehemu nyingi anawatuma watendaji wako Wana promote Jambo then anakuja kutengua na kupata credit zote.
 
Kama Chadema ni wanafiki zile maiti mlizokuwa mnazika usiku wakati ule tena kwa magari ya manispaa walikuwa wanakufa kwa ugonjwa gani? na kwanini mzike usiku? mlikuwa mnaficha nini?

Na usijaribu kuleta siasa zenu za kichovu useme zile video zilikuwa za kutengeneza, kwasababu utalaaniwa na wale waliopoteza ndugu zao wakati ule.
 
Ukiacha mauaji ya ya mwaka 2000 lkn angalau mzee aliishi na wapinzani vizuri hakuwafunga ,hakuwanyanyasa...Alipenda demokrasia ikuee sana.
Mzee Mkapa Mtu Safi Sana...katuletea ARVs....hebu kitafuteni na mkisome kitabu chake...amefafanua hiyo kadhia ya 2001..ukifuatilia vema utamaizi kuwa MAZINGIRA ya watu kumchinja Askari na kutaka kuvamia kituo Cha Polisi kilichokua na armoury NDIYO yaliyopelekea Yale mabaya kutokea...mkiweka HISIA Pembeni na kuiangalia ile kadhia kiuhalisia Basi Kuna mwanga utauona na kutomtia lawamani mzee Mkapa,Rip aamen
 
Kama Chadema ni wanafiki zile maiti mlizokuwa mnazika usiku wakati ule tena kwa magari ya manispaa walikuwa wanakufa kwa ugonjwa gani? na kwanini mzike usiku? mlikuwa mnaficha nini?

Na usijaribu kuleta siasa zenu za kichovu useme zile video zilikuwa za kutengeneza, kwasababu utalaaniwa na wale waliopoteza ndugu zao wakati ule.
RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Corona ipo usitegemee mwanasiasa ndio alinde afya yako hasa kipindi hiki cha uchaguzi
 
Mzee Mkapa Mtu Safi Sana...katuletea ARVs....hebu kitafuteni na mkisome kitabu chake...amefafanua hiyo kadhia ya 2001..ukifuatilia vema utamaizi kuwa MAZINGIRA ya watu kumchinja Askari na kutaka kuvamia kituo Cha Polisi kilichokua na armoury NDIYO yaliyopelekea Yale mabaya kutokea...mkiweka HISIA Pembeni na kuiangalia ile kadhia kiuhalisia Basi Kuna mwanga utauona na kutomtia lawamani mzee Mkapa,Rip aamen
Safi sana tunahitaji siasa zenye kuchukua utamaduni wetu
 
Mbowe kila sehemu daima anasimana imara tu hanaga kuogopa
Ni kutokana na watu kuamini kuwa serikali haitaki hizo taarifa zitoke. Na watu wanaogopa mambo ya isolation kama itajulikana mmoja wao ana Corona. Mtaa mzima utawakimbia. Unless wewe ni Mbowe.

Amandla...
 
Umemuona eh?? Anapingana na mamlaka ya CCM iliyoondoa mazuio yote ya kukabiliana na corona na sasa analaumiwa mwananchi wa kawaida CHADEMA. Hawezi kuwaza nje ya CHADEMA.

Chadema is living rent-free in his head!!
Hata hujui unachokiongea naona mkuu.
 
Kesho mimi mapeema taifa, ili nishuhudie rais mtarajiwa mh Lissu akitinga uwanjani na reaction itakayo toka kwa wananchi.
"Niwape pole wanachama wa ccm kwa kuondokewa na M/Kiti wao wa zamani, huu msiba ni wetu sote, siyo wa Rais MagufuliJP
pekee na kwa sababu ni msiba wetu sote, kesho Mungu akijalia basi tusindikizane tukampe Mkapa heshima yake " - Tundu A. Lissu
 
Kama Chadema ni wanafiki zile maiti mlizokuwa mnazika usiku wakati ule tena kwa magari ya manispaa walikuwa wanakufa kwa ugonjwa gani? na kwanini mzike usiku? mlikuwa mnaficha nini?

Na usijaribu kuleta siasa zenu za kichovu useme zile video zilikuwa za kutengeneza, kwasababu utalaaniwa na wale waliopoteza ndugu zao wakati ule.
Soma mada uelewe kwanza mkuu.
 
1595871012384.png

Leo mhanga mwenzako kakukumbuka!!
 
Back
Top Bottom