Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU-Halima Mdee
Binafsi nilishuhudia tukio hili la Lissu kupandishwa kwenye ndege akiwa katika hali hiyo, na kwakweli wengi hatukutarajia kama angepona ila ndio hivyo Mungu ana makusudi naye.
Ukiangalia hii picha halafu ukimuangalia na mhusika leo hii na mapokezi aliyoyapata,unaishia kukiri huu ni muujiza wenye malengo fulani kwa Taifa hili.
Tusiseme mengi, tuachie muda uje useme.
View attachment 1519022
Kwenye ndege usiku ule alipandishwa na wabunge wenzake na huyu mnayemuona akiwa ndani ya ndege ni Mwigulu.Aliyekuwa Naibu Spika,Tulia ndio aliongoza wabunge wenzake siku ile.
Anashiriki kutekeleza wajibu wake Wa Kibinadamu.. Watakaochukia yeye kushiriki msiba wana matatizo yaoHalima amefanya vyema, si vibaya chama kikatoa shukran rasmi kwa jeshi la polisi, hata kama ni kwa kinafiki. Pia nashauri sana Tundu Lisu ashauriwe kutokwenda kesho msibani. Kwangu bado Lisu ana hasira na lile shambulio, kwa vyovyote atataka kuionyesha serikali na hasa rais Magufuli kuwa amepona. Na mashabiki wake wanaweza kuonyesha furaha iliyopitiliza ambayo itaipa serekali kuchukua maamuzi hasi.
Kwakuwa wamemstahi leo, ni vyema angeachana na huo msiba, kuna nafasi kubwa ya kushindana na ccm. Na kama itawezekana kuanzia sasa Lisu pia ashauriwe asitumie lugha kali za kupandisha hamasa za chuki, bali apambane na ccm kwa sera. Kuna sehemu nyingi sana za kuwazidi ccm, mfano huu rushwa ya juzi kwenye chaguzi zao, ajira, ugumu wa maisha wa wananchi, demokrasia nk. Ni vyema apange vizuri mashambulizi yake kisiasa, kuliko kuonekana anambana na mtu binafsi, kwa ajili ya shambulizi binafsi.
Hahahaha atkua Rais wa awamu mojatoka awamu hii iingie hili tukio ndio wameridhisha watanzania, lingine litakua la uhesabu kura
Hapana Yule alikuwa Raisi wetu, Lazima twende kumuaga.Halima amefanya vyema, si vibaya chama kikatoa shukran rasmi kwa jeshi la polisi, hata kama ni kwa kinafiki. Pia nashauri sana Tundu Lisu ashauriwe kutokwenda kesho msibani. Kwangu bado Lisu ana hasira na lile shambulio, kwa vyovyote atataka kuionyesha serikali na hasa rais Magufuli kuwa amepona. Na mashabiki wake wanaweza kuonyesha furaha iliyopitiliza ambayo itaipa serekali kuchukua maamuzi hasi.
Kwakuwa wamemstahi leo, ni vyema angeachana na huo msiba, kuna nafasi kubwa ya kushindana na ccm. Na kama itawezekana kuanzia sasa Lisu pia ashauriwe asitumie lugha kali za kupandisha hamasa za chuki, bali apambane na ccm kwa sera. Kuna sehemu nyingi sana za kuwazidi ccm, mfano huu rushwa ya juzi kwenye chaguzi zao, ajira, ugumu wa maisha wa wananchi, demokrasia nk. Ni vyema apange vizuri mashambulizi yake kisiasa, kuliko kuonekana anambana na mtu binafsi, kwa ajili ya shambulizi binafsi.
Mbona kama umepanik flani hiviMsitetemeke na maneno ya hiyo muhaini wa nchi, MUNGU anamuona na atamhukumu vile vile,chuki zake ni uchu wa madaraka na kwa sasa atasema lolote ilmradi wazungu washenzi wamsikie na kumsifia
Hapana Yule alikuwa Raisi wetu, Lazima twende kumuaga.
Asanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU-Halima Mdee
Ukisema uongo itakusaidia nini.Habari wadau
Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.
Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa
Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM
Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Halima amefanya vyema, si vibaya chama kikatoa shukran rasmi kwa jeshi la polisi, hata kama ni kwa kinafiki. Pia nashauri sana Tundu Lisu ashauriwe kutokwenda kesho msibani. Kwangu bado Lisu ana hasira na lile shambulio, kwa vyovyote atataka kuionyesha serikali na hasa rais Magufuli kuwa amepona. Na mashabiki wake wanaweza kuonyesha furaha iliyopitiliza ambayo itaipa serekali kuchukua maamuzi hasi.