HKBW
JF-Expert Member
- Aug 4, 2009
- 468
- 345
Lisu asifikiri tumemuogopa, tunamlia "timing" tu
Kwani itakuwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo. Roho mbaya kama wasiojulikana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu asifikiri tumemuogopa, tunamlia "timing" tu
Wewe sio rizikiHabari wadau
Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.
Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa
Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM
Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Wapi nimelazimisha watu mkuu?,nimpe pole lissu kwani kafiwa?
Uache upotoshaji! Ulivyomnukuu sivyo alivyosema!Habari wadau
Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.
Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa
Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM
Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Ni msiba wa ccm na vibaraka vyao. Maana marehemu alihusika kwa kiasi kikubwa kukandamiza democrasia. Hongera CORONAHabari wadau
Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.
Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa
Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM
Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Sio Lissu pekee, hata mimi msiba haunihusu.Habari wadau

Safari hii nani anataka kuwatuma kuja KUDHULUMU Raia wema haki zao za kuishi? Kule Pemba "Marehemu" alihusika kwa 100%, na kwa kweli leo hii Wapemba wote WANASHEREHEKEA kufuatia kifo cha ghafla cha MFITINI WAO huyo.
Alikuwa Huyu huyu.Umenikumbusha mabomu ya Mwembechai, hivi si alikuwa huyu huyu?
coco pole
kacheki pressure
au kunywa maji mengi
Habari wadau
Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.
Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa
Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM
Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Wamekufa wao kwa CORONA na wanaendelea kuambukizana. manina watajua tu kuwa hawajui. Wametumia pesa nyingi kulanghai umma kuwa CDM imekufa kumbe wamekufa wao kwa CORONA.Mataga wamepigwa sindano ya ganzi baada ya watu wengi sana kujitokeza kumpokea mh Lissu.
Waliamini kabisa kuwa watu watakataa kwenda maana maccm wanajidanganya kuwa cdm imekufa.