johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilikuwa najaribu kupima umbali wa kutoka JNIA hadi Ufipa na umbali wa kutoka viwanja vya Buibui pale mwananyamala Kambangwa hadi Morocco hotel alipopigwa risasi yule binti mwanafunzi.
Kiukweli inawezekana kabisa Chadema siyo watu wa vurugu hadi pale wanapovurugwa.
Leo hawajavurugwa tumeshuhudia amani ikitamalaki.
Siasa siyo Uadui..... Tunajenga nyumba moja.
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli inawezekana kabisa Chadema siyo watu wa vurugu hadi pale wanapovurugwa.
Leo hawajavurugwa tumeshuhudia amani ikitamalaki.
Siasa siyo Uadui..... Tunajenga nyumba moja.
Maendeleo hayana vyama!