digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu huwezi kujenga hoja hadi utukane? Mbona Mimi sijakutukanaMpumbavu mkubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huwezi kujenga hoja hadi utukane? Mbona Mimi sijakutukanaMpumbavu mkubwa!
Kwamba wajifanya hujui alipigwa risasiWapi nimelazimisha watu mkuu?,nimpe pole lissu kwani kafiwa?
Uzi tayariChakusikitisha na kushangaza ni kwamba watu walofika katika mapokezi hayo ambayo yamelipotiwa na vyombo vya ndani pamoja na vya mabeberu kuwa hawakuweza kufika hata elfu moja kama ambavyo wengi walitegemea
Tuliza kende wewe, Kesho tunakuja hapo Uhuru stadium, tutamuaga huyo marehemu wenuHabari wadau
Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.
Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa
Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM
Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Akaunti yake imeshiba mapesaHivi mmemfanya nini dada mange .mbona kakata mguu ghafla.?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Katika hii mada ni kipi ambacho si cha kweli mkuu?Wala hoja yako sio Corona, bali idadi iliyojitokeza kumpokea Lissu bila vurugu. Imebidi uje na huu uzi wa kupoza machungu. Ww si ndio ulileta uzi wa vitisho vya kijinga jana?
Habari wadau
Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.
Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa
Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM
Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
coco polePia wewe una msiba.. labda kama kuwewe ni asailamu sika.
Kwa hiyo bbc na aljezeera wakisema na wewe unatik kabisa...huu utumwa wa akili utu uzimani ni aibu kwa familia yakoLile shangwe tu limetosha mbona BBC na Al-Jazeera wanasema he deserves to be a president
Habari wadau
Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.
Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa
Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM
Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Tangu Janga la Corona lianze Wapinzani wote Tanzania wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakibeza na kupinga kila hatua iliyokuwa ikichukuliwa na serikali kwenye kupambana na Corona. Mh Mbowe yeye alienda mbali zaidi akadai Kuna mamia ya watu wanakufa na kuzikwa usiku huku hospital kama Amana na Mloganzila zikiwa zimefurika wagonjwa.
Hawakukubaliana na Chochote kwenye Mapambano dhidi ya Corona badala yake walikuwa wakisifia mataifa jirani huku wakidai serikali ya Tanzania imeamua kuua watu wake makusudi kwa Corona hadi ikafikia hatua wakasusia bunge.
Sasa leo ni ajabu watu hawa wanao amini kuwa kuna mamia ya watu wanakufa kwa Corona Tanzania wanafanya mikusanyiko tena bila tahadhari yoyote.
View attachment 1518743
View attachment 1518745View attachment 1518747View attachment 1518748
Huyu nae alikuja akiwa amevaa barakoa ila alipofika JNIA akaivua
Inamaana ameivua kwasababu anajua amefika sehemu salama.
View attachment 1518752
View attachment 1518756
View attachment 1518758
Kwa hali hii tukiwaita wanafiki wala hatutakuwa tumekosea.
Acha kupotosha, ukipotosha inakusaidia Nini?? Kawapa pole CCM kwa kupoteza Mkiti wa chama chao wa Miaka kumi.
Nguruwe bhana Mara ooh atakamatwa airport ujinga mtupu gutuka wenxio polis waneona ujinga kutumiwa kana toilet paperHuyu hasikubabaishe,anatafuta kiki kwa lazima kwa ushauri wangu kwa rais hasishughulike nae hata kidogo mpaka siku ya kesi yake itakapotajwa ili awajibike kwa kutoroka baada ya kudhaminiwa sheria inataka agende jela miezi mitatu.
Msitetemeke na maneno ya hiyo muhaini wa nchi, MUNGU anamuona na atamhukumu vile vile,chuki zake ni uchu wa madaraka na kwa sasa atasema lolote ilmradi wazungu washenzi wamsikie na kumsifia
View attachment 1518876
Respect kubwa leo
Lazima mtage mayai safari hiiHuyu hasikubabaishe,anatafuta kiki kwa lazima kwa ushauri wangu kwa rais hasishughulike nae hata kidogo mpaka siku ya kesi yake itakapotajwa ili awajibike kwa kutoroka baada ya kudhaminiwa sheria inataka agende jela miezi mitatu.