Wakuu habari za Leo,natumaini mu wazima wa afya tele.
Naomba tulejee kwenye mada husika, Leo ilikuwa ni siku murua ya kumpokea ndugu T.Lissu ambapo wafuasi wa chadema na mabeberu walitegemea kuwa watu wengi wangejitokeza kumpokea Mwamba Lissu .
Chakusikitisha na kushangaza ni kwamba watu walofika katika mapokezi hayo ambayo yamelipotiwa na vyombo vya ndani pamoja na vya mabeberu kuwa hawakuweza kufika hata elfu moja kama ambavyo wengi walitegemea
Hii ni salamu tosha kwa wasaliti wote,na kama lissu anamtazamo wa kuupata urais wa Jamhuli ya watu wa Tanzania nadhani Leo amejionea na kutambua kuwa watanzania hawana muda naye.
View attachment 1518889View attachment 1518891