Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Habari wadau

Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.

Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa

Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''

Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM

Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake

Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Wewe sio riziki
 
Uache upotoshaji! Ulivyomnukuu sivyo alivyosema!
Wenye roho za korosho mtajinyonga safari hii!
 
Habari wadau

Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.

Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa

Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''

Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM

Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake

Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Ni msiba wa ccm na vibaraka vyao. Maana marehemu alihusika kwa kiasi kikubwa kukandamiza democrasia. Hongera CORONA
 
Habari wadau

Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.

Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa

Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''

Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM

Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake

Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
Sio Lissu pekee, hata mimi msiba haunihusu.
Amekuwa Rais kwa sababu chaguzi zinafanywa katika mazingira ya ccm lazima itangaziwe ndio mshindi.
 
Safari hii nani anataka kuwatuma kuja KUDHULUMU Raia wema haki zao za kuishi? Kule Pemba "Marehemu" alihusika kwa 100%, na kwa kweli leo hii Wapemba wote WANASHEREHEKEA kufuatia kifo cha ghafla cha MFITINI WAO huyo.

Umenikumbusha mabomu ya Mwembechai, hivi si alikuwa huyu huyu?
 
coco pole

kacheki pressure

au kunywa maji mengi

Kisa!!!.. nyinyi musiwo na maisha nje ya humu.. ndio munapigwa moyo na maneno munasoma.. pokea zaidi 💉💉💉. nenda ona dokta kwa BP yakwo..
 
Habari wadau

Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.

Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa

Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''

Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM

Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake

Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.

Alisema mwenyekiti wao kwa miaka kumi sio Rais wao
 
Mataga wamepigwa sindano ya ganzi baada ya watu wengi sana kujitokeza kumpokea mh Lissu.

Waliamini kabisa kuwa watu watakataa kwenda maana maccm wanajidanganya kuwa cdm imekufa.
Wamekufa wao kwa CORONA na wanaendelea kuambukizana. manina watajua tu kuwa hawajui. Wametumia pesa nyingi kulanghai umma kuwa CDM imekufa kumbe wamekufa wao kwa CORONA.
 
Back
Top Bottom