mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu Mimi sina PhD wala shule sijaendaWaangalie Wakerewe. Mwangalie Andaeitiini. Mtoto mdogo lakini utafikiri ana PhD ya kuvamia mazizi ya watu na kuyaharibu tena bila huruma wala woga. Mwangalie Mzee wa Liver. Mfalme Aliyejishindia ufalme kilaiiini baada ya kuukamata moyo wa Malkia. Bingwa wa Forex na Think Tank ya makamanda...
Inasemekana Ukerewe ndiyo kuna maprofesa na Phd holders wengi per square mile kuliko sehemu nyingine Tanzania. Sababu haijulikani ila samaki wanatajwa tajwa sana.
Njema tu za jioniWatu wanatoka na stress zao huko wanaamua kuja kuchukia uzi ambao haumuingizii hata mia
Ujinga tu
Habari rafiki
Ni kweli kwa Tanzania maprofesa wengi na PhD holders ni Pemba na UkereweWaangalie Wakerewe. Mwangalie Andaeitiini. Mtoto mdogo lakini utafikiri ana PhD ya kuvamia mazizi ya watu na kuyaharibu tena bila huruma wala woga. Mwangalie Mzee wa Liver. Mfalme Aliyejishindia ufalme kilaiiini baada ya kuukamata moyo wa Malkia. Bingwa wa Forex na Think Tank ya makamanda...
Inasemekana Ukerewe ndiyo kuna maprofesa na Phd holders wengi per square mile kuliko sehemu nyingine Tanzania. Sababu haijulikani ila samaki wanatajwa tajwa sana.
Hi NumbisaSalama kabisa
Pole sana kwa maradhi, tunakuombea kila la kheri upone haraka ili urejee hapa tufurahie maisha pamojaNaendelea vzr kaka, nasubiri kwenda kupata majibu ya vipimo kesho
Poa broBaadaye kidogo
Alhamdulillah, hatujambo na tuna shukuru kwa neema ya afya aliyotujaalia MananiWaungwana wazee wa likes
Habarini ya leo
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine
Hilo nalo ni tatizo kubwa sana kwa sasa hasa sehemu za migodi hili tatatizo lilipigiwa kelele sana mgodi wa nyamongoTatizo kubwa kwa sasa ni Mercury contamination. Uchafuzi wa mazingira unawafanya samaki wapoteze sifa yao ya kuwa chakula bora kabisa kwa wajawazito na watoto. Marekani hapa wanawake wajawazito wanashauriwa wasile samaki zaidi ya mara mbili kwa wiki unless kama wanajua samaki hao mahali walikotoka. Mercury (inatumika kusafishia makinikia) hata kama ikiwa kidogo tu inasababisha watoto kuzaliwa mazezeta au vilaza wa kutupwa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Imagine uko hapo wakati wa machweo na Goddess mnamwabudu AMUN RA. Safi sana !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alibakari shida sana nilimkuta kwenye Uzi mmoja analalamika wanawake wa badoo matapeli Sana walimpiga ya shingo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hasa akiwa na Consuela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gonga likes mkuuSee you when you see me!
Vat 69 Habari nyingine mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa Tukuyu anaelewa hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Jibapa au VAT 69 hiyo inaongea !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nyi mkikutana, nabaki na kicheko tu.[emoji3] [emoji3] mwendo wa mikwala tuHahahah yaan ww, siku nikipona utajua walah.
Dah hatari sana
Kuna mabango uliyaandaa na kuyatupia humu,yalisaidia sana kwenye kuhamasisha LIKES...Mimi nitaendelea kukumbushia tu (aka kulalamika) kila ninapohisi mambo hayaendi sawa. I hope na wenzangu wataendelea kufanya hivyo. Sijaanza leo wala jana kufanya hivyo na sijui kwa nini leo imekuwa nongwaaaa
Asante kipenzi, nikupendae, nikuwazae Mara nyingi, uishie ndani yangu.Nakusalimia salamu yenye kila aina ya upendo
Habari ya leo
Pole na majukumu
Madame Johnson
Chuma cha pua
Nini tena[emoji44] [emoji44] [emoji44] [emoji44]