[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutaimiss barca la liga
Kuna njura kyomaEgo watu inya nibamu. Nimtukizaki waitu?
Weee!si uongo wote jamani khaah![emoji23][emoji23]Uongo unanogesha mapenzi ujue
Balimi za kuchemsha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariTwende tukanywe balimi za kuchemsha kule kwa siku zote[emoji6][emoji6]
Ndoa inatafutwa kwa gharama zoteIla aliingia na mkwara hevi. Bila mimi kujua alienda kwa mama akamjengea kajumba kabisa ka kuonekana mjini karibu na Koromije akampangishia maza akawa anachukua pesa ya kodi. Kuja kushtuka namuuliza maza kama ana shida anasema kwa wakati huo hakuwa na shida ya vitu vidogo vidogo kwa sababu pesa ya rent ilikuwa inamsaidia. Mshangao nilioupata si wa dunia hii....Kuna wanawake wajanja hapa duniani sijaona !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msambwanda wako unaning'inia. Nikusaidie kuushikilia?
Hii safi6. Tembea mara kwa mara
Kutembea kwa dakika 30 kwa siku moyo wako utakuwa unafanya kazi vizuri, utapunguza hasira, hutakuwa na chuki. Kama unaona ni ngumu kwako kutembea , hasa kama una gari , jifunze kupaki gari yako mahali mbali na ofisi , tembea . anza kutumia maji ya kutosha. utapata faida nyingi .