Hana Jipya!!Perez asepe tu kaisha makali ya kuipeleka juu madrid. Madrid ya zaman mtu kama hazard wasingetoa jasho kumpata
Chama chako kiliahidi Katiba mpya kwenye Ilani yakeSijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais, Katiba sio kipaumbele changu, Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza
Kuna watu wanaogopa safariKuna watu walizoea kusafiri nje Mara nyingi kuliko hata kwenda kusalimia nyumbani kwao
Huenda alitembelewa kwa muda na pepo mchafuYea kuna jamaa alianza na komenti ya kwanza kwa kutukana, kaishia kuwa mhubiri na kuwaombea watu waache lugha chafu na kuheshimu wazazi ili wauone ufalme wa Mbinguni. Nikabaki namshangaa,lakini alikuwa ameguswa na yaliyo mkuta aliye kuwa anamtusi hadi akaanza kumuonea huruma tena.
Biashara ya makanikia.Nazuia hata michanga ya madini, ninafanya kazi hii kwa niaba yenu, kwani nashindwa kusema nipelekee hiyo michanga nitaikuta Ulaya?
Huku safi asee, tunamshukuru MuumbaNjema bro,
Weekend inaishaje hapo.Nnaona ulikua WWE
Njema, twashukuru tuko salamaKheri kabisa jirani. Habari za pande hizo?