mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha wasiojulikana tenaHahahahahaha maelekezo yako mzee[emoji16][emoji16]unawaita wasiojulikana au memba wa Uzi huu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nimecheka hatariPunguza bangi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1058404
Dah mechi saba zimebaki nani kubeba ndoo
Hakuna salamaSasa hapo akiamua kuibuka ili kuvuta hewa hao wavuvi watasalimika?
Mojawapo wa mwanamziki ninaowakubali
Dogo anajitambua na kujituma sanaaa!Mojawapo wa mwanamziki ninaowakubali
Halafu ukiwaaambia wanasema eti wewe mwanaume yanakuhusu nini ?? Yananihusu nini, hivi watu hawajui kwamba Fashion Industry inalipa sana ?? Yaani unakuta Celebrity kaka mtandaoni matusi, skendo na utimu timu tu.
Mkuu kama unakumbuka Iggy Azelea alivyokuwa juu sana mwaka 2013-2015 halafu ghafla akapotea. Alionywa sana na menejiment yake kwamba aache hizi drama na utoto utoto mitandaoni. Yeye kila tweet lazima ajibu, mara atukanane na Azalea Banks mara Britney Spears. Alikuja kuporomoka na anajaribu kurudi lakini nafasi yake kashika Cardi B, yeye apumzike tu kwao Australia.
Ndiyo hivi vijitabia vya kutengeneza drama za kijinga jinga vinakugharimu msaaniii.Nadhani na kumkorofisha TI pia kulichangia sana kuanguka kwake.
Issue haikua bill mzee bali ni uandishi wa hiyo billbill ya kawaida ukichukulia mlikua zaid ya wawili: mtu mmoja hawez tumia huo mchanganyiko wa vinywaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ndio huo bro nikikataa itakua najidanganyaKwani uliyaonja bro[emoji16][emoji16]
ππ
Umeachiwa leo?[emoji16][emoji16]
Halafu ukiwaaambia wanasema eti wewe mwanaume yanakuhusu nini ?? Yananihusu nini, hivi watu hawajui kwamba Fashion Industry inalipa sana ?? Yaani unakuta Celebrity kaka mtandaoni matusi, skendo na utimu timu tu.
Mkuu kama unakumbuka Iggy Azelea alivyokuwa juu sana mwaka 2013-2015 halafu ghafla akapotea. Alionywa sana na menejiment yake kwamba aache hizi drama na utoto utoto mitandaoni. Yeye kila tweet lazima ajibu, mara atukanane na Azalea Banks mara Britney Spears. Alikuja kuporomoka na anajaribu kurudi lakini nafasi yake kashika Cardi B, yeye apumzike tu kwao Australia.
ππππSalama bro?ππ