myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mtawala wa kundiFisi jike huwa na maamuzi yote kuanziamahabani mpaka mgawanyo wa kazi.
π€£π€£π€£Fisi dume halitakagi kusikia habari za watoto,
huwa linaamini ni Mali ya jike, hivyo hanaga
nao msaada kabisa.
Sahihi kabisaFisi anapokutana na watoto wa simba huwaua pasi na huruma.
Duh!!Fisi wakikosana kwa kuibiana chakula audume, na kwa bahati mbaya mmoja aweMdogo, hupigana mpaka Mdogo kufa, na kamawapo sawa mnyonge hukimbia, wakati huodume hubaki likishangaa tuu na kushindwalianzie wapi.
Fisi jike huwa na muonekano wa jinsia mbili,katika uke wake kwa juu au sehemu ambayo mwanamke hukeketwa, ile sehemu kwa fisi huwa na ukubwa mkubwa sana inaweza fikanchi saba, jambo hilo humfanya aonekane na muonekano wa jinsia mbili.
Kweli kabisa hiliFisi jike huwa na mwili mkubwa kuliko dume.
UJUMBE HUU MUHIMU SANAUKIKUTANA NAYE UFANYE
Kwanza kaa ukijua fisi sio mnyama wa
kumchezea, naye ana uwezo wa kukurarua vile
vile, usijeanza fikiria zile hadithi za shule ya
msingi ukamchukulia pia, sungura mwenyewe
akimuona anafungua njia vibaya sana,
japokuwa si kiumbe anayevamia moja kwa
moja, huuma kwa kuvizia, jihami vya kutosha
na uwe na silaha nzuri kama fimbo nzito, mawe
yenye ujazo mzito, na usimpe nafasi ya
kumuonesha unamuogopa japokuwa kicheko
chake chaweza kukutia hofu Mara dufu.
πππNyumbu ni mnyama anaepatikana sana katika
ukanda wa Savana na nchi za Afrika Mashariki.
Nyumbu yuko katika familia ya "Bovidae",katika
kundi hili hujumuisha wanyana aina ya Swala,
Ng'ombe,Mbuzi,Kondoo n.k.
Sawasawa βοΈNYUMBU HAWAJUI KUJITETEA.
-Nyumbu anakata tamaa kirahisi sana,hajui
kupambana kama Pundamilia maana
Pundamilia analiwa lakini kwa shida sana ila
nyumbu akikamatwa tu basi hutulia na kuliwa
bila shida.
Aisee..NYUMBU HAWAJALI.
-Nyumbu hajui chochote hata kama kuna tukio,
nyumbu yeye anaamua atakacho.Mfano
ikitokea amezaa mara Simba anamkimbiza,
atakimbia hata hatakumbuka mtoto.Ni
wachache saba wanaokumbuka watoto na kina
muda wanajua njia kuwa njia hii inamamba au
adui lakini hawajali wanapita tu.
Wanyama wa ajabu sanaNYUMBU HAWANA UTAMADUNI WA
KUSAIDIANA.
-Nyumbu mmoja kati yao anapokamatwa au
kufukuzwa na adui inapotokea hatari kila
mmoja anatafuta namna ya kujiokoa
mwenyewe au wanaomuona analiwa
wanamtazama tu.
AiseeNYUMBU HAWAJALI.
-Nyumbu hajui chochote hata kama kuna tukio,
nyumbu yeye anaamua atakacho.Mfano
ikitokea amezaa mara Simba anamkimbiza,
atakimbia hata hatakumbuka mtoto.Ni
wachache saba wanaokumbuka watoto na kina
muda wanajua njia kuwa njia hii inamamba au
adui lakini hawajali wanapita tu.
Usiitwe Nyumbu aisee...Tabia za Nyumbu ni kama:-
1:NYUMBU ANAUWEZO MDOGO SANA WA
AKILI.
-Mfano mzuri,Nyumbu wanaweza kuwa na kiu
wakaamua kwenda kunywa maji kwenye mto
wa mamba (πππ),wenzao wakiliwa wao
wataendelea kunywa maji hapo hapo hata
wakarudi siku nyingine kunywa maji
nakusahau kama wenzao waliliwa katika mto
huo.
πππKundi LA nyumbu huwa kati ya 10,000 hadi
90,000. Endapo majani yapo yakutosha
nyumbu huongezeka idadi hadi kufikia 100,000
na zaidi.vipindi vya mvua nyingi ndipo nymbu
huzaliana kwa kasi zaidi,
SawasawaKatika safari yao nyumbu hawajawahi
kumsubiri nyumbu mwezao aliyepata ajali,
aliejisahau eidha alikuw anakul majan, aliyezaa
wala aliyekamatwa na mnyama mlanyama,
msafala wao huwa hausubiri kitu wala hauna
fea.
π€£π€£π€£Ila nyumbu akiwa mwenyew huwa haogopi .ni
mala chache mno nyumbu aliye pekeake
kumkimbia adui yake, nyumbu akiwa
mwenyewe huwa anajiona kama tembo au
kifaru, huwa ni hatari zaidi ata duma hutegea
wawe kwenye kundi ndio wavamie.
Sawasawayaani nyumbu
amebeba muonekano wa wanyama
wasiopungua 7, ngoja nikujuze,
Nywele za shingoni; SIMBA
Mkia: FARASI
Ndevu:MBUZI
Mapaja ya nyuma; PUNDA MILIA
Mgongo :ng'ombe
Miguu ya mbele milefu yanyuma mifupi ; FISI
Sawasawa βοΈNyumbu wa Serengeti hula na kuzaliana
nyakati za masika tu.endapo kiangazi kitaingia
nyumbuwote hufunga safari na kuelekea
hifadhi jilani ya Kenya (masaimar). Nyakati
hizo huko kenya huwa kunamalisho yakutosha,
nyumbu hukaa miezi isiyopungua 6 ndipo
hufanya safari zao.
HAWAAMINIKI HAO USA