Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Umeona mguu ule jamaa alitaka kupita na kijiji
 
Congo wanapiga nje tu hawalengi goli
 
Bamtu ba Congo bamechoka na kukataa tamaa
 
Mcathy anakata ulimi tu hapa
 
Tusubiri saa 12 hapo tuwaone Angola wataweza kuwafunga Morocco
 
Kabisa.
Huyu Kocha wa Kenya 🇰🇪 jina kubwa sana.
Ila watapigwa.
Japo natamani Kenya washinde.
Sisi ni familia
Kongo hata umisetta bado wangekosa hawana kabisa akili ya mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…