Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Wenye akili mgando ndiyo basi tena.
 
wewe ni tabulasa
 
Hukuona yaliyotoke jana? Subiri ya leo. Watu wanahudhulia mkutano kwa hiari yao siyo kwa kusombwa na Fuso.
 
Ila Kwa kweli inakatisha tamaa Sana,
Watanzania mkoje? Mna sababu zipi za kutokuipenda Chadema na Lisu?

Acheni hizo, njoeni mjaze viwanja vya Tanganyika leo mmtie moyo mgombea uraisi mwenye damu nyingi za kenya
 
Chama cha saccoss kwa kweli, na mnatembeza bakuli la kuchangishana, wakati huwa mnawakata wabunge pesa ambayo mnadai kuwa ni kwa ajili ya kuendesha kampeni, CDM bado sana sana
Vp dom misambwanda bd hawajapandishwa watoe burdan

Ova
 
Umeandika UPUIZI wa standard gauge 🤣🤣🤣🤣
 
Ombi langu kuu kwa Chadema!! Pages zenu zote kuanzia Twitter, Facebook na kwingine kooote, hakikisheni mnasambazo haya matangazo ya michango kupitia simu.
Nimeshtuka hata kwenye page ya Chadema ya Twitter yenye followers laki tatu na ushee hamjaweka matangazo ya kuchangiwa pesa!!!

Fanyieni kazi haya
 

Yani mimi nachukia naona kama hapo kwenye media wako nyuma. Hata kupost matukio ya mgombea Urais hawako on time. Nini kinaendelea kwenye kitengo cha habari Chadema? Mbona watu wamesema sana tangu mwanzo ila hapafanyiwi kazi? Mnategemea wakereketwa wa chama ndio wahangaike wakati kitengo kipo?
 
Leo ndio atazindua sera zake? Lisu watu walivyotarajia sio kabisa. Uchaguzi huu ni mwepesi sana kwa Magufuli.
 
Tunasubiri picha za Tbccm kama za jana, leo msiwafukuze kabisaa hao wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…