Unamununulia mtu bando hapa wewe fisimaji?? Wewe ni nani mpaka upangie watu cha kupost au kufanya?? Wewe unajua kipato cha kila mtu humu ndani? Wewe mwenyewe inawezekana ni kula kulala kwa shemeji halafu unachoongaa.Hajauliza kazi yako bali kasema fanyeni kazi acheni umbea kwahiyo fanya kazi yako hiyohiyo ya lindo bila kupumzika uingeze kipati zaidi au uolewe nayo ni kazi siyo umbea,kazi ziko nyinymgi!!
Mmbea wewe!!
Sasa nyumba wenyewe wamechukua na la kufanya hana kama imekuuma nenda kameze boga pumbavu...Mpeleke jera siunayo mamlaka na uwezo huo na ushahidi unao
Labda awe rais huko Kijijini kwenu [emoji23][emoji23][emoji23]...Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.
Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Basi ngoja tusubiri tuone nani atamwaga mboga,na nani atamwaga Ugali,au wataamuwa kuto mwaga Msosi ili mwenye mboga na mwenye ugali washirikiane kutunza Msosi wao wale kwa amani!!?Kiukweli kuhusu hizo video clips, sifahamu kitu, ndio kwanza naziona hapa. Tumngoje Kimambe ndiye mwenye sources za udaku.
Usichojua ni kwamba GSM mbona mhusika mkuu ni mwanasiasa, tena ambaye anaijua siasa kuliko huyo mshamba Bashite?? Hivi unaweza Kumlinganisha Bashite na Makalla au Nape? Hauko serious aiseeMkuu wanasiasa si watu wa kuweka nao bifu hasa unapokuwa mfanya biashara. Kama GSM wana mtu wa PR wataliona hili nalosema. Hivi nani alijua Makala atakuja kuwa mkuu wa mkoa wa Dar???? Ninachomaanisha hapa ni kuwa wanasiasa wana mitaji mikubwa ya network, mtu anaweza kuwa idle kwa muda ila siku mtu wake akimkumbuka basi anaweza kulipiza kisasi. Msipe kichwa GSM. Na kumbukeni Makonda na Mama ni kitu kimoja.
Amebakiwa na pharmacy hapo Morocco kwenye hilo jumba refu la rangi ya dhahabu! Sijui kama bado ipo?Zile daladala zake naona hazipo barabarani siku hizi
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.
Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.
View attachment 2145146
View attachment 2145147
Hivi wewe unafikiri mama ana akili za Kisukuma?Mkuu wanasiasa si watu wa kuweka nao bifu hasa unapokuwa mfanya biashara. Kama GSM wana mtu wa PR wataliona hili nalosema. Hivi nani alijua Makala atakuja kuwa mkuu wa mkoa wa Dar???? Ninachomaanisha hapa ni kuwa wanasiasa wana mitaji mikubwa ya network, mtu anaweza kuwa idle kwa muda ila siku mtu wake akimkumbuka basi anaweza kulipiza kisasi. Msipe kichwa GSM. Na kumbukeni Makonda na Mama ni kitu kimoja.
Dhulma ni dhulma tuu haina cha u Afrika wala uhindi, lazima ikemewe ili nyie vijana msiopenda kazi mkafanye kazi za jasho lenu..Ukitaka kuona real zile afrikan illusion characters njoo JF, yaani watu wanaandika utadhani wao ndiyo walidhurumiwa, kuuliwa ndg, kutapeliwa, kufungwa nk.
Sawa, ila nyumba ya watu arudishe halafu na yeye kama ana ushahidi autoe ili na wao washughulikiweMbona hawakusema toka mwanzo kua Makonda anawalazimisha wamjeengee hiyo Nyumba! Hao wote wanajuwana kwenye ma deal yao machafu! Na si muda Siri zao wote watazitoa kwa jamii, ili mjuwe aina ya Viongozi na Wafanyabiashara mnao waamini sana!!
Ndiyo wenyewe wamechukua nyumba yao sasa kama vipi na wewe nenda ukamsaidie...Mbona kuna Watumishi wengi tu wa Umma wanamiliki Mali ambazo haziendani na vipato vyao!? Au wwe Tanzania umekuja juzi!? Hii point yako futa kabisa,labda uje na hoja nyingine!!
Makonda hana haki na hiyo nyumba, na GSM hana haki na hiyo nyumba. Nyumba hiyo itaifishwe iwe mali ya ya taifa. REaisi yeyote anaweza kupewa zawadi, lakini katiba inasema kama zawadi hiyo ni kubwa raisi anaikabithi serkali. Cheo ndiyo kimepewa zawadi kwa niaba ya WaTANZANIA, KWA HIYO NYUMBA INAILIKIWA NA wATANZANIA. hAIMILIKIWA NA mAKONDA WALA gsm, MAANA WALIISHAITOA ZAWADI KWA jAMHURI KUPITIA RAIS.Huyo huyo nape aliondolewa uwaziri kisa makonda. Mimi nassuport GSM wakadai nyumba yao maana kudai Mali yako hakuna uhusiano na kuwa uRais na uWaziri was mtu.
Hivi wewe unafikiri mama ana akili za Kisukuma?
Kwa hiki ulichoandika eti "out of understood" Kuna atakayekuelewa kweli?? Halafu wala hamjashikiwa bunduki muandike kiingereza [emoji23][emoji23]Kukosa akili ni hata kumnukuu mtu out of understood.
Hukunielewa sorry.
Huyo jamaa huko mbele ya safari dawa zake zikiisha nguvu then mabaya yote yafahamike hadharani atakuja kujiua au kuhama nchiDah huruma imeniingia juu ya Makonda. Watu wameanza kumgeuka mmoja mmoja, ipo siku hata wale wenye magari yao watamdai.
Duuuh mkuu funguka zaidi..Hawa jamaa waliletewa yule kibaka aliyemmwagia acid kaka yao wakacheza naye kwa dakika kadhaa hapo uani kwao wakamalizana naye kibingwa.
Ukiandika humu sungura yuko ITV anatangaza Habari bila ushahidi utaonekana mpuuzi tuuUngejua nafasi aliyonayo bashite huko serikalini sasa hivi.........
Nimegundua wengi vingi hamjui, ndio maana nilisema Kubenea anapoteza muda
What?Hawa jamaa waliletewa yule kibaka aliyemmwagia acid kaka yao wakacheza naye kwa dakika kadhaa hapo uani kwao wakamalizana naye kibingwa.
Utaongezewa weweYule mnyaturu wa full time security Magufuli na Makonda walimchukulia mabilion yake kwa nguvu hadi jamaa akabaki hana kitu na stroke kumshika na kulazwa hospitalin mda mrefu. Isingekuwa ndugu zake nje kumtumia hela za matibabu na chakula angeshakufa. Na si yeye wengi tu.
Halafu eti anaitwa shujaa sijui SRG sijui bwawa la nyerere.
Shetani endelea kuongeza kuni na kuchochea moto
Samarai!mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....
Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Sababu sina pesa.Mbona wwe Makonda hajakusingizia kua unauuza madawa ya kulevya!? "If you don't know the rules don't play the game'!!! Hayo Maneno alikuwa anapenda sana Marehemu Dingi yangu kuniambia! nilipokua mdogo sikumuelewa,hadi nilipokua Mkubwa na kuanza ku play the game ndiyo nikaanza kumuelewa! Na masikini wakati naanza kuelewa Maneno ya Dingi na yeye ndiyo Umauti ukamnyemelea na kumchukuwa!!