Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Tatizo Sasa alipata hiko kiwanja na kuanza ujenzi kabla ya kupata uteuzi
 
Si peleka ushahidi kitengo cha madawa ya kulevya? Unangoja nini?

Mfupa ulimshinda fisi, utauweza wewe?
Hizi chuki mnazotengeneza kwa sasa na hakika zitawameza wewe na vizazi vyenu siku za usoni, muachieni kijana wa watu nyumba yake
 
Tunatakiwa tujue hata maandiko yanasema amtegemeaye mwanadamu mwenzake amelaaniwa sasa sponsa kafa jamaa analia lia tu mara aombe apigiwe kifua na mama yao ,yaani kila mti anaoshika unateleza kwingineko nao TRA wanataka alipie yale makontena ya vitu vyake vya hoteli alivyodai ni kwaajili ya shule, yani vululu vululu tu. Apambane na hali yake tu, watu wachume mali tangu yeye hajazaliwa leo hii aje achukue kilaini thubutuuuuuuuuuuuuuuuuu,.
 
Kwamba GSM ni kampuni ya ujenzi ama? Walijenga kwa minajili ipi? Kama walitoa rushwa basi ndio imetoka
 
Kijana wa mzirankende atulie. Akomae spate haki zake.

Ila najiuliza watumishi wengine wa umma huwa wanashidwaji kuwa entrepreneur s kupata Pesa za kujenga mahekalu kama wakina Bashite.
 
Huyo mumeo ni takataka
Alaah!! Kumbe unaumia sababu tu alikukataa?? sasa nani anapenda uchafu?..... heee!....Njoo wewe uone navo faidi km unanionea wivu!!......na bado mtalia sana tu!
 
Ila si tulikubaliana hii sio serikali ya visasi?
 
Kama alipewa zawadi je aliwahi mjulisha mwajiri wake? Na je kwenye fomu za maadili za viongozi hiyo nyumba ipo?
 
Hapo kwenye mabati na nondo pana maswali yasiyokuwa na majibu. Idadi ya vifaa vilivyokuwa vinachangwa hailingani kabisa na ile iliyotumika. Time will tell.
 
 
 
Makonda anahujumiwa sababu ya misimamo yake isiyoyumba hususan kupambana na wauza unga na mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…