Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Tatizo Sasa alipata hiko kiwanja na kuanza ujenzi kabla ya kupata uteuziMakonda ni jambazi hilo halina ubisha mtu umekua mkuu wa wilaya na mkoa less than 10 years unamiliki utajiri Mkubwa umeupata wapi na sio mfanyabiashara ni picha gani unawafundisha vijana kwamba ukiwa mkuu wa wilaya au mkoa unakua billionaire kama makonda maisha sio marahisi hivyo makonda aliwapora malizake waende wakachukue iwe ni somo