Kama kuna dharula taratibu zinajulikana, king'ora, taa zinawashwa honi zinapigwa...ndo sheria za barabarani...hapo wamekosea ba polisi wameishatoa barua wakiwapa onyo hao wenzao...Sasa wewe unachong'ang'ania ni kitu gani ndugu???kwahiyo Bora wang'ang'ane kwenye foleni wakati huo wanataka kuwai kudhibiti panyarodi wanacharanga watu mapanga tandale kwa tumbo!! Kwa mfano
Ni lazama kufata sheria na miongozo ila aliyekiuka kwa sababu ya dharura isiyo na mbadala mfano ambulance ipo na mgonjwa anajifia na kuna foleni ni sawa akiamua kufanya hivyo. Sheria zipo kwa ajili ya binadamu, kama inasababisha binadamu kuwa katika hatari ya kupoteza maisha haina msaada kwake.Kwa mtazamo wangu wenye zile special number deserve kupita popote including mwendo kasi - fire, ambulance, and police.
Wengine wanatakiwa kufuata taratibu hawako juu ya sheria au kwamba wao ni muhimu kuliko wananchi wengine.
Sio suma jkt.ni kampuni ya ulinz ya China and Tanzania security.ndio waliopewa tenda kwa sasa.suma awapo kwenye vituo vya mwendokasi kasi kwa sasa.usikurupuke kusema kitu ambacho auna fact nacho!!Mm siku niwe kwenye jezi zangu za operation naalafu wanizuie waone namfumua mtu AK ya kichwa...hawa suma JKT bure kabisa hawa...
Mamlaka husika inatakiwa hili swala kuliangalia upya, na kutoa ufafanuziKwa hiyo mnataka AMBULANCE, MAJESHI YA ULINZI, POLISI, MADAKTARI wasipite mwendokasi wajae kwenye foleni huko?
Kati ya watu wasiopenda bugudha ni wanajeshi, kwanza utovu wa nidhamu ni kuharibu CV zao. Ukikutana nao kwenye sheria ukawakazia hata wakiharibu ni rahisi kupewa adhabu kuliko polisi. JW wana nidhamu na wanajitahidi kutolea ujinga kuliko PTAngezuia gari la jeshi la wananchi hvyo angeona moto, unakula kipigo na kamera zenu na akuna hatua inayochukuliwa.
Unajua tunawadharau sana polisi sababu tumewazoea ila sio wale miamba jwtz
Hapa kuna jambo haliko sawa kati yao,Hii barabara inatumika pia kama emergency, chukulia ndugu yako amepandishwa kwenye ambulance na mnawahi labda muhimbili mnazuiwa hivyo na anatumia oxgen au pili nyumba yako inaungua moto alafu.zima moto wanazuiwa hivyo au hata pia wamepewa taarifa kuna mahali kuna panya road wanakuja alafu mnawazuia alafu kesho yake aliyejeruhiwa ni ndugu yako.
sio sawa.
Umejuaje hawahi?Umejuaje Anawahi Tukio
Ukiona Mtu anamdindia Polisi jua kuna mkubwa kamtuma, Polisi sio wajinga kihivyoMimi nimependa polisi walivyotulia kutopiga mitama.
Wanajeshi wanajiheshimuNilipita hapo mida hio juzi wakati wa zuia zuia hio, wenzao JWTZ walivyoona kuna hio hali hawakupita mwendokasi tukakaa wote foleni huku, Polisi basi tu kujikweza kunawasumbua.
Sehemu ambazo hakuna mwendokasi uwa mnapita hewani?huyo ni msimamizi wa usalama, hata kama alienda kucheza mpira kuna mtu alishika lindo, akimaliza anatakiwa awahi alipokuwa mahali pa kali mara moja na hii ni kwa sababu matatizo hayapigi hodi, police hana tofauti na ambulance au fire. akiwa on duty lazima awe eneo la kazi hata kama hakuna tatizo.