Kama kuna dharula taratibu zinajulikana, king'ora, taa zinawashwa honi zinapigwa...ndo sheria za barabarani...hapo wamekosea ba polisi wameishatoa barua wakiwapa onyo hao wenzao...Sasa wewe unachong'ang'ania ni kitu gani ndugu???kwahiyo Bora wang'ang'ane kwenye foleni wakati huo wanataka kuwai kudhibiti panyarodi wanacharanga watu mapanga tandale kwa tumbo!! Kwa mfano
Sheria ni msumemo hukata kotekote