Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

kwahiyo Bora wang'ang'ane kwenye foleni wakati huo wanataka kuwai kudhibiti panyarodi wanacharanga watu mapanga tandale kwa tumbo!! Kwa mfano
Kama kuna dharula taratibu zinajulikana, king'ora, taa zinawashwa honi zinapigwa...ndo sheria za barabarani...hapo wamekosea ba polisi wameishatoa barua wakiwapa onyo hao wenzao...Sasa wewe unachong'ang'ania ni kitu gani ndugu???

Sheria ni msumemo hukata kotekote
 
Kwa mtazamo wangu wenye zile special number deserve kupita popote including mwendo kasi - fire, ambulance, and police.

Wengine wanatakiwa kufuata taratibu hawako juu ya sheria au kwamba wao ni muhimu kuliko wananchi wengine.
Ni lazama kufata sheria na miongozo ila aliyekiuka kwa sababu ya dharura isiyo na mbadala mfano ambulance ipo na mgonjwa anajifia na kuna foleni ni sawa akiamua kufanya hivyo. Sheria zipo kwa ajili ya binadamu, kama inasababisha binadamu kuwa katika hatari ya kupoteza maisha haina msaada kwake.
 
download.jpg

Alitaka kufanya kama hawa jamaa
 
Na bado. Ongezeni wawekezaji. Mnatawaliwa sasa hivi.

Disney World. Is a Case Study.

Inakuja Tanesco, Bandari, Na SGR yetu.
 
Mm siku niwe kwenye jezi zangu za operation naalafu wanizuie waone namfumua mtu AK ya kichwa...hawa suma JKT bure kabisa hawa...
Sio suma jkt.ni kampuni ya ulinz ya China and Tanzania security.ndio waliopewa tenda kwa sasa.suma awapo kwenye vituo vya mwendokasi kasi kwa sasa.usikurupuke kusema kitu ambacho auna fact nacho!!
 
Angezuia gari la jeshi la wananchi hvyo angeona moto, unakula kipigo na kamera zenu na akuna hatua inayochukuliwa.
Unajua tunawadharau sana polisi sababu tumewazoea ila sio wale miamba jwtz
Kati ya watu wasiopenda bugudha ni wanajeshi, kwanza utovu wa nidhamu ni kuharibu CV zao. Ukikutana nao kwenye sheria ukawakazia hata wakiharibu ni rahisi kupewa adhabu kuliko polisi. JW wana nidhamu na wanajitahidi kutolea ujinga kuliko PT
 
Safi sana..hii tabia ya baadhi ya watu kujiona special (hasa wenye vyeo vya chini) ifike mwisho, wote tufate sheria.
Wakitoka uko waje kwa madereva wa serikali, na nyie bank muige hii, wote wapange foleni
 
Hii barabara inatumika pia kama emergency, chukulia ndugu yako amepandishwa kwenye ambulance na mnawahi labda muhimbili mnazuiwa hivyo na anatumia oxgen au pili nyumba yako inaungua moto alafu.zima moto wanazuiwa hivyo au hata pia wamepewa taarifa kuna mahali kuna panya road wanakuja alafu mnawazuia alafu kesho yake aliyejeruhiwa ni ndugu yako.

sio sawa.
Hapa kuna jambo haliko sawa kati yao,
Hii barabara iliniokolea anko angu wa miaka mi4, kwa hali aliyokua nayo akecheleweshwa nusu saa tu sijui kama tungekuanae hadi sasa hivi.

Njia ya kawaida magari ya dharura hupita bila kufata sheria na hayachukuliwi hatua kwa kua inajulikana yana dharura, kwanini njia ya mwendekasi iwe spesho?
 
Lakini sheri ni sheria jamani. Kama panaruhusiwa kupita gari za emergency like ambulance or fire, hizo ndo zipite. Hawa jamaa wangewasha taa na king'ora kikubwa mbona wangepishwa barabarani. Mbona msafara wa prezidaa unapita hapo road katikati ya magari ya kawaida?
Na kuhusu vitu kama bodaboda kugongwa na nwendokasi, mi sioni shida maana iko wazi kua hiyo barabara hua ni ya mwendokasi, sasa yeye aliejichanganya makusudi anategemea nini?
 
Nilipita hapo mida hio juzi wakati wa zuia zuia hio, wenzao JWTZ walivyoona kuna hio hali hawakupita mwendokasi tukakaa wote foleni huku, Polisi basi tu kujikweza kunawasumbua.
Wanajeshi wanajiheshimu
 
huyo ni msimamizi wa usalama, hata kama alienda kucheza mpira kuna mtu alishika lindo, akimaliza anatakiwa awahi alipokuwa mahali pa kali mara moja na hii ni kwa sababu matatizo hayapigi hodi, police hana tofauti na ambulance au fire. akiwa on duty lazima awe eneo la kazi hata kama hakuna tatizo.
Sehemu ambazo hakuna mwendokasi uwa mnapita hewani?
 
Back
Top Bottom