Uchaguzi wa kutukanana kama watoto wadogo?Uchaguzi wa CHADEMA uliona? ule ndio usawa wenyewe kwa vitendo je? ni sawa na ule uhuni wa mafisadi CCM ambao wezi wa mali za uma waliwalipa chawa na kuwagharamia kuunga mkono ule uhuni ulio kiuka katiba ya chama? Ili waendelee kujilinda na kulinda wizi wao kwa mgongo wa chama.? Tuwe wazalendo kwa nchi ili uwe faida hata kwa vizazi vyetu vijavyo tuachane na akili ,za kuwa wazalendo kwa watu wenye pesa na chama kuliko nchi ambao ndio uridhi wa vizazi vijavayo ili tusije kulaumiwa kama sisi tunavyo laumu mababu zetu kwa kupokea shanga na kutoa almasi.tuijenge nchi wa maslahi ya nchi
Pascal Mayalla hii ni voice from within au outside?Hebu wasikilizeni Mapolisi wa CCM wanavyoharibu Chaguzi za Tanzania.👇👇👇
Hili Jeshi la Polisi livunjwe lisukwe upya ili like lifanye kazi zake za kikatiba na sio kuingia kwenye SIASA.
View attachment 3298046
Ok, Kila la heri.Maneno ya walislam haya wala hayanipi shida kwa sababu mnajulika kwa matusi na ujinga
unahisi au nikweliTUNDU LISU KAPIGWA RISASI PAJANI. HII HAIKUBALIKI
Unatakiwa ufe mapema kabla ya octoberLabda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Kwa Tanzania yetu bado sana mkuu unafikiri kama ni majiran zetu kenya nini kingetokea apo
Unataka niendelee kupinga tu kwa vile nilimpinga Magufuli?? Hawa mapimbi wamemkosea Samia.We jamaa bwana.....umeshakuwa compromised. Enzi za Magu ulivyokuwa unalia lia sasa.
Kweli kutesa kwa zamu. Kama sio wewe vile😅😅
Bwahaa bwahaaa ,nimecheka kwa nguvu ile mbaya, ukashangae mtu anayetangazwa kila siku. Na hilo nyomi lote hakuna aliyekwenda kwa vitisho wala kuhongwa. Mwenyekiti kachukuliwa na wenye silaha na sio makada wa ccm. Wangeenda Nchimbi na Makala wakamchukue tuone.Ndio maana wanawaleta wanachama wao.
Nyie wanakuja kukushangaeni mnasema ni Nguvu ya Umma,
Kama mumeshindwa kumlinda Mwenyekiti wenu ndio mtazuia uchaguzi? 😂😂
Wewe hapo upo JF unaandamana.Nawaza umkamate Baba Raila Odinga mkutanoni, halafu kimya kuanzia online TV, mabarabarani, radio za jamii.
Tanzania sasa jamii yake ndiyo ina testi-wa na watawala kuona kama kitanuka, siasa za mshikemshike nchini kote au wale viongozi waliofanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kumuondoa mwenyekiti aliyekaa muda mrefu watakuwa fronti kukinukisha
Kumbe kachukuliwa na polisi, nilidhani ni Nchimbi au Makala wameenda kumchukua. Tunasubiri kama akiachiwa ataenda ikulu moja kwa moja.Lissu kachukuliwa na polisi au wananchi wamezuia hajachukuliwa? Jibu swali
Kwani hiyo October akili yako si inategemea hawo policcm ndio mshinde .Akili za nyumbu lazima ziongee hivyo, tusubiri oktoba 2025
Kaandamane boss! Mwenyekiti uchwara Lissu ameshakamatwa huko Mbamba bay tena mbele ya nyomi ya watz lakini wao waliendelea na mission zao tu. Hapo ndio ujue siyo wote wanaoenda kwenye mikutano yake ni wafuasi wake wengine wanaenda kusikiliza pumba zake tu.Bwahaa bwahaaa ,nimecheka kwa nguvu ile mbaya, ukashangae mtu anayetangazwa kila siku. Na hilo nyomi lote hakuna aliyekwenda kwa vitisho wala kuhongwa. Mwenyekiti kachukuliwa na wenye silaha na sio makada wa ccm. Wangeenda Nchimbi na Makala wakamchukue tuone.
Nchimbi alikuwa na ziara za huko, naona hana mvuto kafunikwa na Lisu hata haifahamiki bado anaendelea au kasitisha safari😂😂
Kaandamane boss wako amekamatwa leo hakuna kulala.Kwani hiyo October akili yako si inategemea hawo policcm ndio mshinde .
Ndio hoja zenu za kukubalika?Kaandamane boss wako amekamatwa leo hakuna kulala.
Kwa nini nyomi lisimsaidie Kuitwa mbaroni? 😁😁Bwahaa bwahaaa ,nimecheka kwa nguvu ile mbaya, ukashangae mtu anayetangazwa kila siku. Na hilo nyomi lote hakuna aliyekwenda kwa vitisho wala kuhongwa. Mwenyekiti kachukuliwa na wenye silaha na sio makada wa ccm. Wangeenda Nchimbi na Makala wakamchukue tuone.
Nchimbi alikuwa na ziara za huko, naona hana mvuto kafunikwa na Lisu hata haifahamiki bado anaendelea au kasitisha safari😂😂
Unataka niendelee kupinga tu kwa vile nilimpinga Magufuli?? Hawa mapimbi wamemkosea Samia.
Aliwaleta vizuri ila wao wakamletea dharau, waache wale jeuri yao.
Kumbuka wakati wa Magufuli hakukuwa mikutano, watu walipigwa risasi, akina Lissu na Lema walikuwa nje ukimbuzini, wafanyabiashara walinya g'anywa fedha. Almekuja Samia akasawazisha yote hayo. Ila mijitu haina shukrani kutwa kumkejeli Rais. Waache wanyee choo leo, kesho mtawatoa
😡Kaandamane boss! Mwenyekiti uchwara Lissu ameshakamatwa huko Mbamba bay tena mbele ya nyomi ya watz lakini wao waliendelea na mission zao tu. Hapo ndio ujue siyo wote wanaoenda kwenye mikutano yake ni wafuasi wake wengine wanaenda kusikiliza pumba zake tu.
Kaandamane boss wako amekamatwa leo hakuna kulala.
Kumbe kachukuliwa na polisi, nilidhani ni Nchimbi au Makala wameenda kumchukua. Tunasubiri kama akiachiwa ataenda ikulu moja kwa moja.
Hapana, hao wanalibda usalama tu. Wananchi ndiyo wanaotegemewaKwani hiyo October akili yako si inategemea hawo policcm ndio mshinde .
Wamvundike tu ndani,asiende mahakani Wala Nini,kama wale masheikh wa uamshoKama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya. wafuasi wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!