Halafu wanatuuza bila ya aibu kabisa!Wangefunika kombe mwanaharamu apite, huu muungano wa kihuni kabisa, kumbe walishajinyofoa kwenye Muungano sasa wamerudi kutuuza
Huyu dogo lisu watnzania hatumpendi ka nini. Arudi kwa hub wake mzungu manView attachment 2977398
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024.
Hakika utafunguliwa ufahamu wako na kila mtu atajua mjinga na mwerevu ni nani. Pengine ndiye mtawajua wabuguzi halisi ni kina nani...
Hii ni muhimu sana Nape Nauye na chama chake (CCM) wajitokeze kujibu hoja hizi na kuukanusha ukweli huu wa kikatiba kama unakanushika.
Mimi hata sijui mtu mwenye uelewa na ufahamu kama Tundu Lissu unaweza kumkamatia wapi ili umshitaki afungwe jela. Ni ngumu na pengine haiwezekani tu kabisa maana ni hakika kuwa: KNOWLEDGE IS POWER..!
Kila mtu anajua na kuelewa kuwa Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari. Yupo hapo kwa katiba hii ya 1977. HilI sina hakika kama lina ubishi wowote na kwwamba yupo mtu anaweza kulikanusha hili..
Na hivi inawezekana vipi kuwa kila ukweli unaojifunua kupitia kwa watu kama Tundu Lissu aliyejitoa kupigana kwa damu yake mwenyewe kwa ajili ya manufaa ya watu masikini wengi iwe ni ubaguzi na uchochezi? Really?
Mimi nadhani ifike wakati kila mtu wakiwemo watawala kupitia CCM waelewe kuwa nyakati za kuishi katika giza la ujinga wa kudanganywa na watawala umefika mwisho. Tunachosubiri kwa sasa ni justification tu kupitia "unyakuo"
Inashangaza kuwa kina Nape Nauye na CCM yake wanataka tuendelee kuishi ktk giza la ujinga na udanganyifu wa miaka 60..
Hapana. HII HAIWEZEKANI TENA... Watu wanataka kuishi katika Nuru ya haki na usawa...
Hebu nyie kina Dr Akili, ChoiceVariable, Tlaatlaah, Samiaagain2025 MamaSamia2025, Paul Makonda, @Nnape Nauye njooni mkanushe ukweli huu kwa hoja zenye ushahidi halafu mrudi tena kusema mbaguzi hapa ni nani. Pia mseme kama Rais Samia Suluhu Hassan sio mzanzibari, basi ni wa taifa lipi?
Na kuna ugumu gani wote kukiri kuwa kuna tatizo katika muungano huu wa 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar?
Kazi ya Tundu Lissu ni kuonesha matatizo lakini nyie mnamwita mbaguzi..!!
Looh!!, mna shida kwelikweli nyie
Pia soma: Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote
Wameamua kutufanyiziaCCM Bara (Tanganyika) imezidiwa ujanja na CCM Zanziba.
We mjinga shambulia kwa hoja sio mitusi tu na kushambuliwa utu wa mtu.Anayeweza kusikiliza hiyo takataka ni nyumbu wenzie. Hilo shoga litakufa na upumbavu wake
Tatizo la ma ccm. Mkiona watu wanafundishwa kutumia akili zao vizuri, mnawatisha na vita. Kwani miungano mingapi imevunjwa hapa duniani? Mtaendelea kutawala kwa sababu ya mapungufu ya vyama vya upinzani, lakini hamuwezi zuia watu kuelimika na kutumia elimu zao kuwang'oa madarakani. Ni swala la muda tuNa ukishayaelewa na kulewa hayo maneno ya Lissu, kinachofuata ni vita vya vyenyewe kwa wenyewe. Huko ndio Lissu anakotupeleka.
Sikia nikwambia, idiolojia za Lissu hazina afya kabisa katika nchi yeyote ile ya Afrika. Jirani yako ndio mtu utayefanya naye biashara kwa ustawi wa Afrika na nchi moja moja. Huwezi kujua Ethiopia waliingiaje kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe. Ni kama hizi siasa za Lissu ndio mbolea nzuri sana ya kukupeleka katika nchi ya ahadi ya Lissu.
Baada ya maelezo yake, tuchukulie kesho mmetengana, na yeye ndio Rais, hivi atakwendaje kwa jirani kuomba ujirani mwema?
Shame on you.Anayeweza kusikiliza hiyo takataka ni nyumbu wenzie. Hilo shoga litakufa na upumbavu wake
Ni akili yake tu mbovu. Wazazi hawahusiki hapo.Hahaha, jilaumu mwenyewe kwa kuzaliwa na wazazi mbumbumbu, wenye uwezo mdogo kiakili, ukaenda shule badala ya kusoma ukakalia ujinga mwisho wa siku garbage in garbage out.
Ni siku nyingi kidogo" wanatufanyizia."Wameamua kutufanyizia
Jibu hoja acha kuwewesekaKama anazungumzia idadi ya watu na uwiano wa wabunge, ni vizuri tuanze na Dar na Dodoma. Dar inawapiga kura wangapi (kwa takwimu za 2020) na Dodoma ina wapiga kura wangapi na Wabunge wangapi.
Mliosoma mahesabu tupeni uwiano ndipo tutajua kuwa Lissu ni mbaguzi namba 1.
Mbaya zaidi yeye mwenyewe aqmekuwa bungeni na anajua wazi kuwa majimbo ya uchaguzi wa wabunge hautegemei wingi wa watu/wapiga kura. Atupe vigezo ili twende pamoja.
Huyu ni mbaguzi namba moja, kwani akimalizana wa Uzanzibari na utanganyika atakuja kwenye Usingida na Uchagani au Umasaini au UDar. Nyie subirini pale nchi yetu itageuzwa kuwa kama Ethiopia na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Lissu na Fatuma Karume kujibizana ni sawa kabisa. Wote ni pungufu wa akili.View attachment 2977398
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024.
Hakika utafunguliwa ufahamu wako na kila mtu atajua mjinga na mwerevu ni nani. Pengine ndiye mtawajua wabuguzi halisi ni kina nani...
Hii ni muhimu sana Nape Nauye na chama chake (CCM) wajitokeze kujibu hoja hizi na kuukanusha ukweli huu wa kikatiba kama unakanushika.
Mimi hata sijui mtu mwenye uelewa na ufahamu kama Tundu Lissu unaweza kumkamatia wapi ili umshitaki afungwe jela. Ni ngumu na pengine haiwezekani tu kabisa maana ni hakika kuwa: KNOWLEDGE IS POWER..!
Kila mtu anajua na kuelewa kuwa Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari. Yupo hapo kwa katiba hii ya 1977. HilI sina hakika kama lina ubishi wowote na kwwamba yupo mtu anaweza kulikanusha hili..
Na hivi inawezekana vipi kuwa kila ukweli unaojifunua kupitia kwa watu kama Tundu Lissu aliyejitoa kupigana kwa damu yake mwenyewe kwa ajili ya manufaa ya watu masikini wengi iwe ni ubaguzi na uchochezi? Really?
Mimi nadhani ifike wakati kila mtu wakiwemo watawala kupitia CCM waelewe kuwa nyakati za kuishi katika giza la ujinga wa kudanganywa na watawala umefika mwisho. Tunachosubiri kwa sasa ni justification tu kupitia "unyakuo"
Inashangaza kuwa kina Nape Nauye na CCM yake wanataka tuendelee kuishi ktk giza la ujinga na udanganyifu wa miaka 60..
Hapana. HII HAIWEZEKANI TENA... Watu wanataka kuishi katika Nuru ya haki na usawa...
Hebu nyie kina Dr Akili, ChoiceVariable, Tlaatlaah, Samiaagain2025 MamaSamia2025, Paul Makonda, @Nnape Nauye njooni mkanushe ukweli huu kwa hoja zenye ushahidi halafu mrudi tena kusema mbaguzi hapa ni nani. Pia mseme kama Rais Samia Suluhu Hassan sio mzanzibari, basi ni wa taifa lipi?
Na kuna ugumu gani wote kukiri kuwa kuna tatizo katika muungano huu wa 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar?
Kazi ya Tundu Lissu ni kuonesha matatizo lakini nyie mnamwita mbaguzi..!!
Looh!!, mna shida kwelikweli nyie
Pia soma: Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote
Sema ulikuwa hujiui peke yako!Mh Lissu amefafanua mambo mengi ya msingi ambayo tulikuwa hatujui.
Kumbe mtanganyika ukiwa unaishi Zanzibar huruhusiwi kumiliki ardhi?
Sasa mbona hapa Kakonko nipo na wapemba wengi sana wanalima maharage na mazao mengine bila kubughuziwa?
Ebu tumsikilize MH Lissu.
View attachment 2978051
Mimi naona tofauti kidogo. Kilichopo sasa ni kutaka kuitawala Zanzibar na inapokuwa ngumu tunaanza kulialia. Inatafutwa gia ya kuenda kwenye serilkali moja, jambo ambalo WAZANZIBARI wengi hawalikubali.Unajuwa tumefikafikaje huku?
CCM Bara (Tanganyika) imezidiwa ujanja na CCM Zanziba.
Viongozi wa CCM Bara, wengi ni wachumia tumbo; hakuna mmoja kati yao anayeweza kusimama na kutetea hoja inayokinzana na matakwa ya CCM Zanzibar. Matatizo yetu yanatoka huko