Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

Wangefunika kombe mwanaharamu apite, huu muungano wa kihuni kabisa, kumbe walishajinyofoa kwenye Muungano sasa wamerudi kutuuza
Halafu wanatuuza bila ya aibu kabisa!
Tundu Lissu kafunua kombe lote. Natumaini watu wataanza kuelewa tulipofikishwa na CCM hii.

Unajuwa tumefikafikaje huku?
CCM Bara (Tanganyika) imezidiwa ujanja na CCM Zanziba.
Viongozi wa CCM Bara, wengi ni wachumia tumbo; hakuna mmoja kati yao anayeweza kusimama na kutetea hoja inayokinzana na matakwa ya CCM Zanzibar. Matatizo yetu yanatoka huko.
 
View attachment 2977398
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024.

Hakika utafunguliwa ufahamu wako na kila mtu atajua mjinga na mwerevu ni nani. Pengine ndiye mtawajua wabuguzi halisi ni kina nani...

Hii ni muhimu sana Nape Nauye na chama chake (CCM) wajitokeze kujibu hoja hizi na kuukanusha ukweli huu wa kikatiba kama unakanushika.

Mimi hata sijui mtu mwenye uelewa na ufahamu kama Tundu Lissu unaweza kumkamatia wapi ili umshitaki afungwe jela. Ni ngumu na pengine haiwezekani tu kabisa maana ni hakika kuwa: KNOWLEDGE IS POWER..!

Kila mtu anajua na kuelewa kuwa Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari. Yupo hapo kwa katiba hii ya 1977. HilI sina hakika kama lina ubishi wowote na kwwamba yupo mtu anaweza kulikanusha hili..

Na hivi inawezekana vipi kuwa kila ukweli unaojifunua kupitia kwa watu kama Tundu Lissu aliyejitoa kupigana kwa damu yake mwenyewe kwa ajili ya manufaa ya watu masikini wengi iwe ni ubaguzi na uchochezi? Really?

Mimi nadhani ifike wakati kila mtu wakiwemo watawala kupitia CCM waelewe kuwa nyakati za kuishi katika giza la ujinga wa kudanganywa na watawala umefika mwisho. Tunachosubiri kwa sasa ni justification tu kupitia "unyakuo"

Inashangaza kuwa kina Nape Nauye na CCM yake wanataka tuendelee kuishi ktk giza la ujinga na udanganyifu wa miaka 60..

Hapana. HII HAIWEZEKANI TENA... Watu wanataka kuishi katika Nuru ya haki na usawa...

Hebu nyie kina Dr Akili, ChoiceVariable, Tlaatlaah, Samiaagain2025 MamaSamia2025, Paul Makonda, @Nnape Nauye njooni mkanushe ukweli huu kwa hoja zenye ushahidi halafu mrudi tena kusema mbaguzi hapa ni nani. Pia mseme kama Rais Samia Suluhu Hassan sio mzanzibari, basi ni wa taifa lipi?

Na kuna ugumu gani wote kukiri kuwa kuna tatizo katika muungano huu wa 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar?

Kazi ya Tundu Lissu ni kuonesha matatizo lakini nyie mnamwita mbaguzi..!!

Looh!!, mna shida kwelikweli nyie

Pia soma: Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote
Huyu dogo lisu watnzania hatumpendi ka nini. Arudi kwa hub wake mzungu man
 
Na ukishayaelewa na kulewa hayo maneno ya Lissu, kinachofuata ni vita vya vyenyewe kwa wenyewe. Huko ndio Lissu anakotupeleka.

Sikia nikwambia, idiolojia za Lissu hazina afya kabisa katika nchi yeyote ile ya Afrika. Jirani yako ndio mtu utayefanya naye biashara kwa ustawi wa Afrika na nchi moja moja. Huwezi kujua Ethiopia waliingiaje kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe. Ni kama hizi siasa za Lissu ndio mbolea nzuri sana ya kukupeleka katika nchi ya ahadi ya Lissu.

Baada ya maelezo yake, tuchukulie kesho mmetengana, na yeye ndio Rais, hivi atakwendaje kwa jirani kuomba ujirani mwema?
Tatizo la ma ccm. Mkiona watu wanafundishwa kutumia akili zao vizuri, mnawatisha na vita. Kwani miungano mingapi imevunjwa hapa duniani? Mtaendelea kutawala kwa sababu ya mapungufu ya vyama vya upinzani, lakini hamuwezi zuia watu kuelimika na kutumia elimu zao kuwang'oa madarakani. Ni swala la muda tu
 
Hahaha, jilaumu mwenyewe kwa kuzaliwa na wazazi mbumbumbu, wenye uwezo mdogo kiakili, ukaenda shule badala ya kusoma ukakalia ujinga mwisho wa siku garbage in garbage out.
Ni akili yake tu mbovu. Wazazi hawahusiki hapo.
 
Wameamua kutufanyizia
Ni siku nyingi kidogo" wanatufanyizia."
Walipoamua kuwa na Bendera ya nchi yao na Katiba yao, nilijuwa tumeanza kufanyiziwa. Wakatangaza kabisa na mipaka ya nchi yao; kwamba chochote kitakachopatikana ndani ya mipaka hiyo, kama gesi au mafuta, hakuna mTanzania yeyote atakayedai utajiri huo unamhusu! Kuna kufanyiziwa zaidi ya hapo?
Labda kilichoshindikana ni kule kujiunga na Jumuia ya nchi za Kiislam. Hii nayo isingeshindikana kama si kelele nyingi toka nje ya CCM yenyewe.
 
Kama anazungumzia idadi ya watu na uwiano wa wabunge, ni vizuri tuanze na Dar na Dodoma. Dar inawapiga kura wangapi (kwa takwimu za 2020) na Dodoma ina wapiga kura wangapi na Wabunge wangapi.
Mliosoma mahesabu tupeni uwiano ndipo tutajua kuwa Lissu ni mbaguzi namba 1.

Mbaya zaidi yeye mwenyewe aqmekuwa bungeni na anajua wazi kuwa majimbo ya uchaguzi wa wabunge hautegemei wingi wa watu/wapiga kura. Atupe vigezo ili twende pamoja.
Huyu ni mbaguzi namba moja, kwani akimalizana wa Uzanzibari na utanganyika atakuja kwenye Usingida na Uchagani au Umasaini au UDar. Nyie subirini pale nchi yetu itageuzwa kuwa kama Ethiopia na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Jibu hoja acha kuweweseka
 
Kwani hawataki nini? Tanganyika +Zanzibar=Tanzania.
Dr.Mwinyi rais wa Zanzibar
Samia S.Hassan Rais wa Tanzania.
Rais wa Tanganyika ni nani?
Tuungane tuvunje Zanzibar tu baki na Tanzania. Nchi moja Rais mmoja, au Nchi Tatu marais watatu.

Wanataka tupendane lakini hawataki tuongee mambo ya msingi.
 
Dah sijui nani kawafunua CDM!

Kama kuna hoja ambayo chama Kuu wanaiogopa na hawataki iongelewe ni Muungano.

Ukianisha kwa makini vipengere vya katiba ya zanzibar vinavyoonyesha namna Baraa inavyonywa katika mambo mtambuka kama mgawano wa mapato ya muungano, composition ya wabunge, uteuzi wa viongozi, ardhi, uraia n.k kuna jambo lisilo tarajiwa linaweza likatokea nchini.

Ili kuonyesha ukubwa wa tatizo na athari zake chama komavu kinapaswa kuainisha takwimu na facts kadhaa ikiwemo idadi za Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, Mawaziri, wabunge, Majaji, Makatibu wakuu, RAS, DAS, DED, Wakuu wa Taasisi, na Mabalozi kutoka Zanzibar ambao wapo katika Serikali ya Jamuhuri. pia deni la serikali, mgawanyo wa fedha za mikopo, kugharamia muungano, mauzo ya umeme, mgawanyo makusanyo ya traa n.k. Ukianisha hizi takwimu na kuwaelewesha Wananchi kwa ufasaa, panaweza kuchimbika.

Kuna mwaka Mtikilaa aliitisha mkutano viwanja vya mnazi mmoja, akainisha facts za namna wahindi wanavyoinyonya bongo isivyo stahili. Umati uliokuwepo mnazi mmoja ulipandwa na ghadhabu na kuvamia maduka ya wahindi na kuanzisha ghasia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana akiendelea kuanisha facts za dosari za muungano akijikita kwenye muungano tu, anaweza kusababisha jambo la jambo nchini. Cha msingi asichochee chuki na vurugu. Amani inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote, hivyo kama kwa kuwasanua wananchi amani itatoweka basi ni bora tukaendelea kuwa kama tulivyo na tulivyokuwa.

Mungu atupiganie ili bongo nayo itoboe
 
Mheshimiwa Tundu Lissu ni ligi ingine kabisa.🙌🏿 Korido za Lumumba sasa hivi wanakaa wima, na kama wanalala mumo humo makazini, wanalala wima vilevile.
 
View attachment 2977398
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024.

Hakika utafunguliwa ufahamu wako na kila mtu atajua mjinga na mwerevu ni nani. Pengine ndiye mtawajua wabuguzi halisi ni kina nani...

Hii ni muhimu sana Nape Nauye na chama chake (CCM) wajitokeze kujibu hoja hizi na kuukanusha ukweli huu wa kikatiba kama unakanushika.

Mimi hata sijui mtu mwenye uelewa na ufahamu kama Tundu Lissu unaweza kumkamatia wapi ili umshitaki afungwe jela. Ni ngumu na pengine haiwezekani tu kabisa maana ni hakika kuwa: KNOWLEDGE IS POWER..!

Kila mtu anajua na kuelewa kuwa Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari. Yupo hapo kwa katiba hii ya 1977. HilI sina hakika kama lina ubishi wowote na kwwamba yupo mtu anaweza kulikanusha hili..

Na hivi inawezekana vipi kuwa kila ukweli unaojifunua kupitia kwa watu kama Tundu Lissu aliyejitoa kupigana kwa damu yake mwenyewe kwa ajili ya manufaa ya watu masikini wengi iwe ni ubaguzi na uchochezi? Really?

Mimi nadhani ifike wakati kila mtu wakiwemo watawala kupitia CCM waelewe kuwa nyakati za kuishi katika giza la ujinga wa kudanganywa na watawala umefika mwisho. Tunachosubiri kwa sasa ni justification tu kupitia "unyakuo"

Inashangaza kuwa kina Nape Nauye na CCM yake wanataka tuendelee kuishi ktk giza la ujinga na udanganyifu wa miaka 60..

Hapana. HII HAIWEZEKANI TENA... Watu wanataka kuishi katika Nuru ya haki na usawa...

Hebu nyie kina Dr Akili, ChoiceVariable, Tlaatlaah, Samiaagain2025 MamaSamia2025, Paul Makonda, @Nnape Nauye njooni mkanushe ukweli huu kwa hoja zenye ushahidi halafu mrudi tena kusema mbaguzi hapa ni nani. Pia mseme kama Rais Samia Suluhu Hassan sio mzanzibari, basi ni wa taifa lipi?

Na kuna ugumu gani wote kukiri kuwa kuna tatizo katika muungano huu wa 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar?

Kazi ya Tundu Lissu ni kuonesha matatizo lakini nyie mnamwita mbaguzi..!!

Looh!!, mna shida kwelikweli nyie

Pia soma: Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote
Lissu na Fatuma Karume kujibizana ni sawa kabisa. Wote ni pungufu wa akili.
 
Mh Lissu amefafanua mambo mengi ya msingi ambayo tulikuwa hatujui.

Kumbe mtanganyika ukiwa unaishi Zanzibar huruhusiwi kumiliki ardhi?

Sasa mbona hapa Kakonko nipo na wapemba wengi sana wanalima maharage na mazao mengine bila kubughuziwa?

Ebu tumsikilize MH Lissu.
 
Zanzibar lazima ilindwe, otherwise Wazanzibar watamezwa.

Ukiamuwa kuwa mkweli wa nafsi yako kero za muungano usizijadili kwa mihemko, mimi kwanza ningependa Wazanzibar tuwape uhuru wao tunadumaza maendeleo yao.

Zanzibar nje ya muungano hata Dubai tutakuwa hatuendi tunamaliza mambo yetu Zanziba.

Machogo tunawafukarisha Wazanzibar kwa manufaa ya ccm.
 
mko soo petty ninyi watu, Zanzibar ina square meter > 2000 elfu mbili sasa mlitaka watu zaidi ya milioni 50 wakamiliki ardhi Zanzibar? hivi hamna matatizo mengine tangagiza zaidi ya obsession na Zanzibar? kwa mfano hata umeme au maji ya kunywa ambapo mmezungukwa na maziwa lkn hakuna maji?

kama mnataka ardhi kisiwani kwa nini hamuendi Mafia au Mafia siyo kisiwa? Kiko tanganyika 100% au sijui kilwa au hata ziwa viktoria lina visiwa pia? Mmemkosa hoja za kuongea kwenye nchi yenye kila aina ya shida?

too law kwa opposition party kuwa so petty …
 
Ulikua hujui peke yako , si uko bize na mangekimambi utajulia wapi
 
Unajuwa tumefikafikaje huku?
CCM Bara (Tanganyika) imezidiwa ujanja na CCM Zanziba.
Viongozi wa CCM Bara, wengi ni wachumia tumbo; hakuna mmoja kati yao anayeweza kusimama na kutetea hoja inayokinzana na matakwa ya CCM Zanzibar. Matatizo yetu yanatoka huko
Mimi naona tofauti kidogo. Kilichopo sasa ni kutaka kuitawala Zanzibar na inapokuwa ngumu tunaanza kulialia. Inatafutwa gia ya kuenda kwenye serilkali moja, jambo ambalo WAZANZIBARI wengi hawalikubali.
 
Back
Top Bottom