Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Utahangaika sana kuelewana na mjita labda ukubali kua boya kwake yani awe kama yeye ndio amekuoa hapo mtaelewana lakini tofauti na hapo never ever forever tena utakua umeolea wana mtaa kwasababu kwa kupenda ngono ni vinala
Wajita wanapatikana eneo gani kwa hapa TZ?
 
Wee human (ni vigumu kutambua jinsia yako) umewatukana sana wanawake wa kijita , tena umetukana wote without exception. yaani Mama wooooooote wa kijita wenye watoto watano kila mtoto na baba yake!!! Weka akiba ya maneno maana hata wewe huna uhakika kwa asili mia moja kwamba huyo unayemuita baba yako ni baba yako kweli
 
Kifupi kabila lolote ukiona wsnadalimiana Wachamawe !!!! Kimbia ufe wanawezana wenyewe kwa wenyewe

🔹 Wana misemo mingi ya mafumbo ya kimapenzi

🔹Ogopa kabila Moja wsnataniana

🔹 Makazini uchawa kwa bosi wanauweza
 
Kaka skupingi,japo sio vzr kuwajaji cos itaonekana kama ni ukabila ila wajita ni magaidi sana asee nina visa vyao kadhaa hapa lol.
 
Tahadhali yako sitaipuuza. Mtoa taarifa wangu ananiambia kuna hawa Waikizu kulana ndugu kwao ni kawaida Sana. Akikuambia huyu ni Kaka yangu shemeji yangu au ni mtoto wa fulani, Kuwa makini Sana omera.
 
Wajita njoeni mjibu kasheshe hii
 
Kuna demu 1 wa Kikurya kaniganda balaaa nilikuwa namnyandua toka kitambo now tayari full charge kumkwepa anaibuka mbali huku kwa gharama zake alidai shida yake mtoto najuta maana usipompigia simu siku 1 kesho yake akikupigia analia sasa kavamia meli ya Greek
 
Naunga mkono hoja.. katka mistake nlyowahi kufanya n kuzàa na yule mjita mwanamke n mshar january to decmber na apo sjamuoa n kazalshwa tu ila jasho la mgongon ananitoa nipe bas mwanangu hatak haya kaa mbal na maisha yangu hatak sku akiamua kushusha mvua za msg utablock anatumia namba zngne 😡
 
.mh nimetia mimba mschana wa kijita najipanga nimpangishie na wewe unakuja na nyuzi za majuto hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…