Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Una hoja makini; nashauri wanazengo wakusikilize.
 
Mm wajita nawajua vizur sana maana nmeishi ujitani mwaka mmoja kabisa, tabia zao

1.ushirikina
2.umalaya ,80% mabinti wanazalia makwao kabla ya kuolewa
3.umbeya, usengenyaji wa hali ya juu
4.hawapendi maendeleo, wakikuona tu unataka kupga hatua wanakupiga kimbola unalala usingiz wa milele.

Cha ajabu nikapiga mimba binti wakijita daaaah, ila nmekataa kumuoa nahudumia mtoto tu,
 
Hatari sana bado hapo uko nao cha msingi fanya sana maombi kwa Mwenyezi Mungu kwasababu hao sio watu wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…