Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

Watoto wa kiume wa Single maza ni hatari zaidi.
 
Kamuulize vunja bei, Dokta mwaka, manara, RIP Dr. Meng hawa wote yaliwakuta mambo na walikuwa na pesa na je Kwann diamond haoi?? S ni kila kitu iweje Leo Elon musk anatengeneza mademu maroboti u get my point budah
Maskini huwa anaamini akipata pesa shida zake zote zitaisha.

Sisi wenye hela tunajua pesa sio kila kitu.
 
Na hawa mnaozaa na kutelekeza nyie akina Kataa Ndoa lakink huku mkizaa zaa hovyo wataishia wapi? Ni mata of taimu tu mtajionea majanga kabla hamjafa mtajuta.
Ukimwona mwanaume anakataa mtoto, ujue hata mwanamke Hana uhakika na baba wa mtoto!
 
Jambo kubwa ujumla mke wa mtu jitahidi kumrekodi,hii itasaidia kupunguza umalaya
 
Mkuu ungekua nae tu kwa kumtumia lakini kuoa unao binti mwenye maadili.
 
Bora umekimbia....harafu wewe inaonekana ni mwanaume unajielewa
 
Pole sana Braza kwa yaliyokukuta.

Vita ya kataa ndoa haina tofauti na Femists.. zinatetewa na Loosers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…