Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia


Wakat sahihi ni sasa.
Ukisubiri zaid Miaka michache ijayo ndio utateseka zaidi maana sio tu utakutana na Single mother. Bali utakutana na Wanawake ambao wana wajukuu na ww uitwe babu na miaka yako 45.

Umejipigia wanawake weng including na wake za watu. Ila sio wake za watu wote wako hivyo. Hao umejipigia ni wale wanalipiza visas kwa waume zao baada ya kugundua usaliti pia ndan ya ndoa zao.
Ila Niamini. Wako wake za watu wana jiheshim na hawana mambo meng kwenye ndoa zao.

Tafuta mwanamke Bikra, age 21-25, anayesoma Chuo au amemaliza, na ambaye unahisi ana akili, namna gan utampata ndio chemsha bongo yako.

au kama sio Bikra tafuta wa age hiyo na ambaye Hana mtoto.

Wanawake ukiwaonyesha mapenz , uwe mkweli na Kuwajali ni waaminifu kwenye mahusiano.

NB: umetembea na wanafunz😣😣😣. Hao wanafunz wakikua ndio mabomu mengne umetengenezea jamiii. Hao washaonja Uboo, washakuwa wajanja , ndio hizi single mothes unazokutana nazo na zenyewe zilikuwa zinatembea na wanaume angal bado wanafunzi.
Mwanamke akiwa anasoma anatakiwa asijihusishe na mapenz.
 
Sasa wewe umetengeneza single mothers halafu unataka uoe asiye single mother kweli! Kwanza ushaleta matatizo Kwa wanao Kwa kufikili kuwahudumia Kila kitu ndio malezi mkuu umefail.
 
Hao wanawake wote aliochafua huko nyuma anakuachia wewe? Arudi akacollect mess zake bana!
 
Hao wanawake wote aliochafua huko nyuma anakuachia wewe? Arudi akacollect mess zake bana!

Hao sasahivi kuna Wanaume wengne wako nao. Na wao wanalalamika kwa wanaume zao kuwa wamezaa na Mwanaume Mwalimu ila ni mjinga hana akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Asifikiri kutembea na wake za watu na kusikia wanalalamikia wanaume zao akajua na yeye halalamikiwi huko nje.

ila Jamaa ni mchenz. Anatembea had na wanafunzi. 😣😣😣😣
 
Hao sasahivi kuna Wanaume wengne wako nao. Na wao wanalalamika kwa wanaume zao kuwa wamezaa na Mwanaume Mwalimu ila ni mjinga hana akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Huenda hawajaolewa pia kwasababu ya kuwa na watoto!
Asifikiri kutembea na wake za watu na kusikia wanalalamikia wanaume zao akajua na yeye halalamikiwi huko nje.
Kujitafutia tu laana!
ila Jamaa ni mchenz. Anatembea had na wanafunzi. 😣😣😣😣
Yani mwanaume hata awe malaya vipi ila kutembea na wanafunzi ni udhaifu mkubwa sana! Yani anaweza hata kulala na wanae huyo!

Kwa alivyo mchafu hata akimpata huyo bikra unayempa hatokaa akatulia atamleta gono na syphilis tu! Ajipange..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…