Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Ukiona hivyo Hilo jambo Lina baraka zote kutoka juu Hadi Kwa mjumbe wa nyumba kumi.Zanzibar wamejaa tele, idadi yao inazidi idadi ya minazi pale Zenji
Mi mwenyewe kipindi nakua,nilikua nawaza kama wewe,nilipokua nasikia eti wanawake ni wengi kuliko sisi,nikawaza kua tutakua tunagombaniwa,mmmh sasa ndo najua kua PESA ni muhimu sana.Duuh wanawake wanazidi kuongezeka Kila kukicha, asee idadi ya wanaume mbona ndogo sana tatizo nini asee,
Kwa mtindo huu Sasa wanaume tutaanza kugombaniwa Sasa duhhhh,.
Mimi ni mawili tu waniue ama tuuane siwezi ridhia kabisa uchafu huu🙄🙄🙄
Binafsi ziwezi kuwa comfortable nikikaa hapo.
Vijana so stupid!!
Hiyo nayo ni sababu pia. Kama wanaume ndo Hawa kweli ukumbini kabisa?Ndo maana wanawake wa dar hawashiki mimba
Uchafu mtupu. Yawezekana Dar wengi wanaunga mkono hata kisirisiriDuuh wanawake wanazidi kuongezeka Kila kukicha, asee idadi ya wanaume mbona ndogo sana tatizo nini asee,
Kwa mtindo huu Sasa wanaume tutaanza kugombaniwa Sasa duhhhh,.
Hao jamaa wa mtindo huo, hata nikipishana nao wajitahidi sana wasiinue mdomo hata kunisalimia, Atachakaa mtu dakika 5 tu!Mimi ni mawili tu waniue ama tuuane siwezi ridhia kabisa uchafu huu
Hapo Kuna mchango wowoteHii ni aina ya vijana ambao hawana mchango wowote kwa taifa
Yule aliyekuwa boss wa Voda aliyekuwa Chele alikuwa kutoka huko huko kwenu Mara...na watu wanatwanga, Kama hujui vitu kausha....Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena.
Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma.
Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
View attachment 3185086