Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

Kuna uzi humu unazungumzia vijana wa Arusha wanavyopasuliwa spika zao na watalii kwa tamaa za kwenda Ulaya...utafute.
Na uhakika wapo Kila sehemu lakini sio hadharani namna hii mkuu wengi wanafanya Kwa kificho sana. Lakini hapa unaona kabisa hadharani na ni ukumbini maana yake hili swala limebarikiwa kbx!
 
Wanaume wanavyosikitika utafikiri sio wao wanaowaharibu wanaume wenzao.
Wanaume tushakuwa wachache tushaanza kuelemewa na wingi wa wanawake, Kila siku wanawake wanaongezeka hadi tunashindwa tuwatiaje, maana kutia nayo sio mchezo.

Kwa huu uchache wetu unaweza jikuta unasumbuliwa ukatie badala ya kuwasumbua ukawatie.
 
Hii hali inasikitisha sana kuna siku nipo maeneo ya Ilala niliwaona vijana yaani wanavyoongea dah wamelegea Kinoma halafu na walikuwa wa naenda kwa Aunt Mum sijui kufanyaje?

Nilijisikia vibaya sana hata maeneo ya Kinondoni ndio wamejaa sana unakuta mtoto wa kiume akikatiza mende anaogopa kama mtoto mdogo wa kike.
 
Back
Top Bottom