The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Mambo ya baikoko pale Tanga Barabara ya 20, watoto wakiume wa tanga wengi milenda na sotojo, mtoto wakiume mweupe kichwani bleach, shingoni tatoo ya apple🍏 vidoleni kapaka ina, mguu mmoja kikuu.Nimeishi pwani mkuu usemacho ni sahihi ile michezo sijui ngoma/vigodoro ni aibu tu yaani wanabambiana hadi chini na sio kubambiana unakokujua wewe yaani ni matusi mbele ya watoto.Mdada aliye shindikana ana mwagiwa maji na ndani hajavaa kitu aibu lakini wenyeji ndo furaha kwao