Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

Mambo ya baikoko pale Tanga Barabara ya 20, watoto wakiume wa tanga wengi milenda na sotojo, mtoto wakiume mweupe kichwani bleach, shingoni tatoo ya apple🍏 vidoleni kapaka ina, mguu mmoja kikuu.
Tanga najua tangu enzi za akina voice wonder kuwa alikuwa anapelekewa moto yule jamaa. Sasa Hadi Sasa wee unadhani Hali ikoje?
 
Swali lako ni kubwa na pana sana ...kwanza kabisa hakuna mkriso wala muislamu anaye jua neno dini ni nini ? Pia hakuna muislamu wala mkristo anaye jua mtume ni kitu gani ?na ninacho sema hiki hakuna muislamu yoyote jf atakaye kuja kubisha hapa wala mkristo ...sasa jiulize kwanini ?
 
Swali lako ni kubwa na pana sana ...kwanza kabisa hakuna mkriso wala muislamu anaye jua neno dini ni nini ? Pia hakuna muislamu wala mkristo anaye jua mtume ni kitu gani ?na ninacho sema hiki hakuna muislamu yoyote jf atakaye kuja kubisha hapa wala mkristo ...sasa jiulize kwanini
Nje na Uzi kabisa
 
Mi mwenyewe kipindi nakua,nilikua nawaza kama wewe,nilipokua nasikia eti wanawake ni wengi kuliko sisi,nikawaza kua tutakua tunagombaniwa,mmmh sasa ndo najua kua PESA ni muhimu sana.
😊😊 Aisee bila pesa upati nunua
 
Tanga najua tangu enzi za akina voice wonder kuwa alikuwa anapelekewa moto yule jamaa. Sasa Hadi Sasa wee unadhani Hali ikoje?
Hali ni mbaya sana Tanga na dar es salaam yote, hata moshi wamerudi jamii kubwa ya hawa watu, msimu wa sikukuu za funga mwaka......halafu wengine wanatoka kwenye familia za kitajiri.
 
Back
Top Bottom