Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

Umewakataza watu hayo lakini hujaeleza madhara yake
Utasema labda wafanye kazi kwa bidii. Lakini hapo kwenye kazi vijana wapo ndio wanauza hizo energy,wanamiliki mabanda makubwa ya kuonesha mipira wanajipatia kipato
Maisha kizungumkuti
 
Mawazo kama haya ndio uwolowolo wenyewe.
Unasumbuka sana kutoa ushauri kwenye maisha ya watu ambao hawakujui, hawakujali na hawajakuomba ushauri.

Tengeneza maisha yako, usijipe umuhimu usio nao kwenye maisha ya watu.
 
Haya ona sasa yaleyale....
Unanipa ushauri bila kukuomba.....
Huo ndo uwezo wa Akili yako hujui kutofautisha kati ya kupewa hoja na kupewa ushauri hebu onyesha wapi umepewa ushauri we kiazi,Nyie ndo mnaishi kwa kuokoteza maandishi kwenye mitandao na kujaribu kuyaishi bila ya kufanya upembuzi yakinifu.
 
Unasumbuka sana kutoa ushauri kwenye maisha ya watu ambao hawakujui, hawakujali na hawajakuomba ushauri.

Tengeneza maisha yako, usijipe umuhimu usio nao kwenye maisha ya watu.
Wata wa aina yako ni wale wasiojali chochote, hawajali watu wengine, na wakishashiba tu ni basi.
 
Wata wa aina yako ni wale wasiojali chochote, hawajali watu wengine, na wakishashiba tu ni basi.
Hapana, suala si kujali watu wengine.

Issue ni kujali kwa mantiki.

Unaweza kujali watu wengine mpaka ukashindwa kufanya mambo yako, halafu ukashindwa hata kusaidia hao unaowajali, kwa sababu umewajali kupita kiasi.

Mimi najali watu wengine, wengine nimewafungulia biashara hapahapa JF bila hata kuwaona.

Lakini sikujichomeka kujali tu bila mantiki.
 
Sasa mimi kuwapa vijana mambo wanayopaswa kuwa waangalifu nayo nimekosea? Au mpaka niwape pesa ndio uone nimewasaidia?
 
Sasa mimi kuwapa vijana mambo wanayopaswa kuwa waangalifu nayo nimekosea? Au mpaka niwape pesa ndio uone nimewasaidia?
Nakwambia hivi.

Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowafahamu, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
 
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo

Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!

Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.

Mnasubiri muajiriwe? Na nani!
🤣🤣🤣 tuache utani bila izo vtu ulizo taja amna maisha kla ktu kna nafas yake kuhusu siasa wengne atupo tuliwaachia Watanzania siasa zao mwaka 2015 tukabezi kwa kuakiksha vijana wetu wapate elimu ya maisha yao sasa mm nina miaka 29 yrs nmebakza miaka kama 32 ya kuish alaf niangaike na siasa za bongo 🤔🤔🤔 kwangu mm hapna
 
Yaani umejipangia kuishi miaka 61 tu na kufa eti kwasababu huwezi kuacha pombe na kubeti, kweli?!
 
Yaani umejipangia kuishi miaka 61 tu na kufa eti kwasababu huwezi kuacha pombe na kubeti, kweli?!
Uko 67-80yrs n kutesa wajukuu coz magonjwa ya uzeen itawasumbua mara umwe ksukar pressure, tez dume sonona ww n wakutembezwa kweny gar kutwa kupimwa kwa doctor Mwamed mara uwanikwe juani, unamwita mjukuu kumbe kavurungwa na maisha utasikia ili lizee slife linasumbua sana kila saa linaita ita weee staki kuwa kero kwa wengne
 
Back
Top Bottom