- Thread starter
- #61
Ipo hapo.Mbona umeruks simba na yanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo hapo.Mbona umeruks simba na yanga?
Hayo yalikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu.Umeongea hayo lakini hujawakataza kuzini na uzinzi. Je, hayo ni afadhali kuliko kunywa energy drinks? Ahahahahaha!!!
Mawazo kama haya ndio uwolowolo wenyewe.Hata wewe umenipa ushauri ambao sijakuomba.
Unathibitisha maneno yangu.
Watanzania wengi wanapenda kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kwenye mambo wasiyoyaelewa.
Unasumbuka sana kutoa ushauri kwenye maisha ya watu ambao hawakujui, hawakujali na hawajakuomba ushauri.Mawazo kama haya ndio uwolowolo wenyewe.
Huo ndo uwezo wa Akili yako hujui kutofautisha kati ya kupewa hoja na kupewa ushauri hebu onyesha wapi umepewa ushauri we kiazi,Nyie ndo mnaishi kwa kuokoteza maandishi kwenye mitandao na kujaribu kuyaishi bila ya kufanya upembuzi yakinifu.Haya ona sasa yaleyale....
Unanipa ushauri bila kukuomba.....
Wata wa aina yako ni wale wasiojali chochote, hawajali watu wengine, na wakishashiba tu ni basi.Unasumbuka sana kutoa ushauri kwenye maisha ya watu ambao hawakujui, hawakujali na hawajakuomba ushauri.
Tengeneza maisha yako, usijipe umuhimu usio nao kwenye maisha ya watu.
Hapana, suala si kujali watu wengine.Wata wa aina yako ni wale wasiojali chochote, hawajali watu wengine, na wakishashiba tu ni basi.
Sasa mimi kuwapa vijana mambo wanayopaswa kuwa waangalifu nayo nimekosea? Au mpaka niwape pesa ndio uone nimewasaidia?Hapana, suala si kujali watu wengine.
Issue ni kujali kwa mantiki.
Unaweza kujali watu wengine mpaka ukashindwa kufanya mambo yako, halafu ukashindwa hata kusaidia hao unaowajali, kwa sababu umewajali kupita kiasi.
Mimi najali watu wengine, wengine nimewafungulia biashara hapahapa JF bila hata kuwaona.
Lakini sikujichomeka kujali tu bila mantiki.
Nakwambia hivi.Sasa mimi kuwapa vijana mambo wanayopaswa kuwa waangalifu nayo nimekosea? Au mpaka niwape pesa ndio uone nimewasaidia?
Wewe mtoto wako ni mpaka akuombe ushauri ndio umpe?!Nakwambia hivi.
Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowafahamu, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
Mtoto wangu namfahamu.Wewe mtoto wako ni mpaka akuombe ushauri ndio umpe?!
Mkutane matako bar ya mwanza 😅Na sisi wa wazee wa nyash tukae wapi mkuu
Si ndio maana nilikuambia wewe ni mtu mbinafsi sana, ukishashiba ni basi.Mtoto wangu namfahamu.
Wewe unatoa ushauri kwa watu usiowafahamu.
Huelewi wapi?
🤣🤣🤣 tuache utani bila izo vtu ulizo taja amna maisha kla ktu kna nafas yake kuhusu siasa wengne atupo tuliwaachia Watanzania siasa zao mwaka 2015 tukabezi kwa kuakiksha vijana wetu wapate elimu ya maisha yao sasa mm nina miaka 29 yrs nmebakza miaka kama 32 ya kuish alaf niangaike na siasa za bongo 🤔🤔🤔 kwangu mm hapnaVijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo
Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!
Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.
Mnasubiri muajiriwe? Na nani!
Yaani umejipangia kuishi miaka 61 tu na kufa eti kwasababu huwezi kuacha pombe na kubeti, kweli?!🤣🤣🤣 tuache utani bila izo vtu ulizo taja amna maisha kla ktu kna nafas yake kuhusu siasa wengne atupo tuliwaachia Watanzania siasa zao mwaka 2015 tukabezi kwa kuakiksha vijana wetu wapate elimu ya maisha yao sasa mm nina miaka 29 yrs nmebakza miaka kama 32 ya kuish alaf niangaike na siasa za bongo 🤔🤔🤔 kwangu mm hapna
Uko 67-80yrs n kutesa wajukuu coz magonjwa ya uzeen itawasumbua mara umwe ksukar pressure, tez dume sonona ww n wakutembezwa kweny gar kutwa kupimwa kwa doctor Mwamed mara uwanikwe juani, unamwita mjukuu kumbe kavurungwa na maisha utasikia ili lizee slife linasumbua sana kila saa linaita ita weee staki kuwa kero kwa wengneYaani umejipangia kuishi miaka 61 tu na kufa eti kwasababu huwezi kuacha pombe na kubeti, kweli?!