Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Kufa utakufa tu, ila pombe usianze kunywa. Subiri mapenzi yakuue taratibu ๐Ÿ˜…
Unajua kwenye mapenzi kuna muda huwa ukikaa na kuanza kukumbuka mambo uliyofanya kuanzisha au kutunza mahusiano unabaki unacheka mwenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huamini kama mimi ndo nilifanya hivi kweli๐Ÿ˜…
 
Namba tatu ni uongo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Anyway mimi sijawahi kupanda ndege Sijawahi kupanda mlima kilimanjaro
Sijawahi kuwa na kibenten
Sijawahi kudate na mzungu๐Ÿ˜Ž

Mimi ni mshamba sana, Anyway tuishie hapo๐Ÿฅฒ
 
mimi sio mtabiri...ila nina uhakika namba tano ndio ya UONGO๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ