Hata angeuza heka moja kwa mil 100 bado bei ni ndogo Sana kwa mbezi msakuzi
Hapo unazungumzia sqm 4000+
Ni sawa na akuuzie kiwanja Cha sqm 1000 kwa milioni 22
Labda awe anamaanisha mbezi msakuzi nyingine, Ila kwa hii ya dar hiyo bei ni cheap sana
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA KWA NIABA YA BANK TABATA KISUKULU - DAR ES SALAM.
Mawasiliano: 0675 065906
Ina Vyumba Vitatu (3) Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 650
Sio Mbali Kutoka Barabara Kuu Ya Lami