Hiyo bei hata kwa kiwanja tu bila nyumba bado ni nafuu sana hadi unapata hofu.
Kujiridhisha kunahitajika sana.
 
Aisee! inauzwa bei rahisi sana. Mikopo wakati fulani inatusaidia, ila wakati mwingine ndiyo kama hivi.
 
Kama haina utapeli Atakaenunua atakuwa kaokota dodo.

Kwa size ya kiwanja na eneo ilipo nyumba Bei ni rahisi mno.
 
Kiwanja kinauzwa Kibamba njia panda ya shule.

Pikipiki 1500 hadi site.

Kipo mtaa anaoishi Peter Msechu.

Mtaa wa kishua sana.

Ukubwa wa sqm 700 (35*20).

Bei ni tsh 16 m

Mawasiliano:

0675 065906
 

Attachments

  • 1721038443391.jpg
    285.1 KB · Views: 7
  • 1721038447111.jpg
    371.9 KB · Views: 7
  • 1721038449799.jpg
    317.8 KB · Views: 8
๐Ÿ”ฅ OFA KUBWA YA VIWANJA ๐Ÿ”ฅ

โœ…Viwanja vipo Mbezi Mpigi magoe unashuka kituo cha Machimbo
โœ…Ni sehemu nzuri Sana Kwa Makazi na pamejengeka
โœ… Panda gari Mbezi shuka kituo cha Machimbo boda 1000 mpaka site
โœ… Viwanja vyote vimepimwa na vipo kwenye ramani
โœ…๏ธViwanja zimebaki 7 ukubwa tofauti tofauti
โœ…Square meter 1 ni Tsh 24,000 tu
โœ…Mawasiliano zaidi call/SMS/WhatsApp:0675 065906

 
Kwenye mchoro wako vilivyo chukuliwa ungeweka alama yyte. Ili vilivyo bakia ndio tuchague.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kwenye mchoro wako vilivyo chukuliwa ungeweka alama yyte. Ili vilivyo bakia ndio tuchague.

KAZI ni kipimo cha UTU
Mkuu nimekusoma ila kwa mtu muhitaji kweli anaweza kuchukua contact na kupiga simu atapewa taarifa zote
 
๐™’๐™–๐™ก๐™š ๐™ฌ๐™–๐™ฏ๐™š๐™š ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ช๐™ก๐™ž๐™ฏ๐™– "๐™ ๐™ž๐™ฃ๐™– ๐™๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ฌ๐™ž๐™ฏ๐™–๐™ง๐™–" ๐™ข๐™—๐™ค๐™ฃ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ฌ๐™–๐™ค๐™ฃ๐™ž ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™˜๐™ค๐™ข๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ๐™จ??
 
ukiwa machimbo viwanja viko uelekeo wa kwa Mwaseba, Torino, Msakuzi RC au huku upande wenye njia ya kuelekea Pande, kwa rubaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ