Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,559
- 4,255
Saa 9 hii , bila shaka unaota ndoto za majinamizi.
Amka usali kisha ulale tena , maana una wenge la usingizi.
Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda).
Hapana mkuu, hunijui.Naona una tumia mbinu za kivita kujilinda, " pretend to be strong when you are weak and weak when you are strong".
Hapo sawa mkuu kama unatokea kwenye aristocratic family hakuna wa kukuleteq shida, kila mtu apambane na hali yake.Hapana mkuu, hunijui.
Na haya mambo sijaanza mimi, ni utamaduni wa nyumbani kwetu.
Mshua wangu alimchana Mkapa live kuhusu ubinafsishaji. Kesho yake Magufuli (alivyokuwa waziri) akampigia simu kumpongeza, akimwambia kuwa kasema mambo mengi ambayo wao kina Magufuli wanataka kusema katika cabinet lakini Mkapa anawaburuza kitemi sana.
So it is a long family tradition hata sikuanza mimi.
GudubaiiiiWanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
Wanabodi,
Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PNA, kirefu chake ni PPR News Analysis. Tamka (P.N.A)
Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.
PNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps za kutokuwepo kabisa uchambuzi wa habari kwenye media zetu,hukuna any serious or critical analysis ya news kwenye media zetu, kuanzia magazeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wowote wa kina wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.
Kufuatia my long experience ya uzoefu wa muda mrefu,wa zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News...
- Pascal Mayalla
- Replies: 49
- Forum: Jukwaa la Siasa
Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Kauli ya "kifo ni kifo" Tu aliitoa Samia, sasa Nani akamatwe?Mkuu you brtter watch your back vipi kama state survailance ipo humu ns unatoa kauli kama hii
Kuimba kupokezanaKifo ni kifo tu - Samia Suluhu Hassan.
nimewaambia hawaelewiWote waliojaribu kupambana na Lissu wamekufa, hawapo na wengine wamekua vichaa.... maybe she is next.
Huyo Tlaatlaah sio chawa ni mwenezi wa CCM ngazi ya mkoa. Alishafanya kazi CCM HQ kipindi fulani. Huyu Lucas Mwashambwa ni mtumishi wa umma njaa kali anapambana wakubwa wamuone ila wamemfungia vioo. Faili lake lilifika mahali likawekwa kwenye dustbin, yeye hana habari anaendelea tu kupayuka jukwaani.
Nyege kunyegezana, mchango kuchangishana.Kuimba kupokezana
BaaassssNyege kunyegezana, mchango kuchangishana.
What's good for the goose is good for the gander.
Muosha huoshwa.
Ameenmuda wa kumuombea LISU huu ,na saa hz tuko ktk kusali rozary takatifu,
hawa si under 18 kweli?
Kwa hawa hiyo dini inatumika tu kama mapambo. Hawana dini yoyote ndani yao.Huyo mwanamke utadhani ni mnyama chui asiye na huruma, hana utu hata kidogo,
Hujinasibisha na dini lakini afadhali ya viongozi wapangani wana utu kuliko huyu na bwana wake mzee wa Pwani
Jiulize kwanza kwa nini wewe hujapewa. Jibu liko huko huko kwako.Si
Si hizi hata vichaa mnapewa u platnum