Aliyewaambia wasiwe na tamaa ya uongozi yeye ni wa chama kipi? Na je yeye hana tamaa ya uongozi?Hivi kuna nini CCM wameambiwa wasiwe na tamaa ya uongozi, lakini wameshindwa uvumilivu wa mchakato wa kisiasa wa kuteua wagombea ngazi ya kwenda kugombea udiwani hadi wanashikana mashati
Unaanzaje kumkata mtu ilihali wote walitoa rushwaHali mtaani imekuwa ngumu watu wameona bora siasa wameshinda kura za maoni kuwakata lazima wapaniki
Wanaoandamana ni chadema siyo CCMHakuna aliye kamatwa kwa kuandandamana?
Laana itawatafuna maishani mwao wote wanao fanya ubaguzi kwenye nchi yetu mzuri tulio achiwa na baba wa taifa mwl JK Nyerere ikiwa na upendo na amani na mshikamanoWanaoandamana ni chadema siyo CCM
Walikuwa wakichekelea sasa zamu yao kupandishwa kwenye karandinga la Polisi. Hizi ni rasha rasha tu bado mvua.Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Mcheza kwao hutunzwa, ingekua ni upandee wa pili hadi damu ingemwagikaHakuna aliye kamatwa kwa kuandandamana?
Ni majini hao ndiyo maana wanapendelea kumwaga damuMcheza kwao hutunzwa, ingekua ni upandee wa pili hadi damu ingemwagika
Kulinda usalama wake ilibidi aseme hivyo [emoji3][emoji3][emoji3]Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
😆😆😆Hakuna aliye kamatwa kwa kuandandamana?
UJANJA AMBAO CCM WAMEUFANYA MWAKA HUU, WANATAKA WATANGAZE MAJINA TAREHE ZA MWISHO WA KUCHUKUA FORM ILI UKIKATWA HATA UKIKIMBILIA UPINZANI UNAKUTA FORM HAZITOLEWI TENA SABABU MWISHO WA KUCHUKUA FORM NI TAREHE 25/08/2020.Upinzani wajiandae kuwapokea wageni, mamia kwa maelfu.
Nimechekaaa Eti "...acha useng..." 🤣18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
Safi haki sawa kwa woteAaah huko bado hatujafika mkuu maaana watu wanapokea maagizo kutoka juu
Mungu atusaidie hali si nzuri ila malipo ni hapa hapa dunianiLaana itawatafuna maishani mwao wote wanao fanya ubaguzi kwenye nchi yetu mzuri tulio achiwa na baba wa taifa mwl JK Nyerere ikiwa na upendo na amani na mshikamano
Alafu utasikia kuwa binadamu wote ni sawa! Ni sawa kwa mahitaji ya kimaumbile tuPolisi wanabembeleza mtu ya kijani kuingia karandingani..ajabu hii.