Hizi zako zote ni hoja mpya ambazo hazishabihianì na hoja yangu. Ukiziweka kama hoja mpya na kuzitolea ufafanuzi tunduizi wa kitaalamu na wenye weledi utakuwa umetisha! Karibu tupate madini mtaalamuMafuta,? hata kama ina CC kubwa? Usalama hata ksma tairi ni kipara? Muda kwamba utatembea zaidi ya 180kph ya Japanese?
Sioni hoja
Hatimae Rais wa Wajapan weusi umetia timu.Aamke mapema maana anakaribia kujikojolea. Gari yenye 700Nm of Torque with 300HP+ uifananishe na 500Nm yenye 202HP?
Hio ni ile ya Petrol ndio moto wa kuotea mbali😂Lc300 ina horse power 400, top speed ni 165miles per hour, ina v6 na twin turbo kwa hio mzee usione hio biturbo kwenye amarok ipo ukadhani lc haina.
Nimekuja kuweka kikao sawa naona vijana wanaleta dharau kidogo😁Hatimae Rais wa Wajapan weusi umetia timu.
Kanzisheni uzi wenu wa Toyota jamaniHio ni ile ya Petrol ndio moto wa kuotea mbali😂
Ila kweli watu wameamua nishaona Amarok za 2023 mjini hapa.Huyu ndo Paroko wa dini ya Toyota eeh!
Kanzisheni uzi wenu wa Toyota jamani
Lazma ziwe nyingi, per diem na warsha zimerahisishwa sana😁 awamu hii ya mama.Ila kweli watu wameamua nishaona Amarok za 2023 mjini hapa.
jamaa anakuambia bongo nzima hakuna gari ya kuigusa chuma yake aina ya amarok.Hio ni ile ya Petrol ndio moto wa kuotea mbali😂
jamaa anakuambia bongo nzima hakuna gari ya kuigusa chuma yake aina ya amarok.
Tanzania magari yaliyokuwa yanatumika ni ya ulaya tumwafrica haziwezi hizo gari swala la muda tu baada ya mwaka wataweka juu ya mawe
Na garage pia yapo ya kutosha.Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.
Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za maana.
[emoji16]Hii habari ipelekwe JF Garage ukutane na spana za mafundi uchwara walokunywa maji ya bendera ya Toyota
Hakuna ka vitz kalikotelekezwa garageHakuna gari isiyoenda garage au we kavitz kako hupelekagi garaji