Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

Mafuta,? hata kama ina CC kubwa? Usalama hata ksma tairi ni kipara? Muda kwamba utatembea zaidi ya 180kph ya Japanese?

Sioni hoja
Hizi zako zote ni hoja mpya ambazo hazishabihianì na hoja yangu. Ukiziweka kama hoja mpya na kuzitolea ufafanuzi tunduizi wa kitaalamu na wenye weledi utakuwa umetisha! Karibu tupate madini mtaalamu
 
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.

Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za maana.
Na garage pia yapo ya kutosha.
 
Back
Top Bottom