Wewe unamwona anatawala?Povu lote hilo la nini ati!
We thibitisha tu kwamba Samia hatawali Tanzania kama ulivyosema awali na sio kukimbilia eti tukamuulize. Kwani yeye kasema hatawali!?
Hizi ni kama kelele za wamama wasutaji tu. Kama hatawali mbona hatukuwaona kitaani alipopiga marufuku msitoke?Wewe unamwona anatawala?
Unapoleta vijimaneno vyako humu ili upate shibe unasahau kuwa kichwani unahitaji kuwa na akili za kuelewa unachozungumzia?
Kutwa kucha, unahangaika na mtu mhalifu ambaye unajuwa wazi kabisa kwamba anasubiri tu kuwajibishwa kwa uhalifu wake; sasa unataka nipoteze siku nzima nikizungushana na upuuzi wa aina hiyo?
Samia anakutawala wewe na wenzio mnaomtegemea na kuendelea kumfanyia uhalifu wake. Nyote mtapata haki yenu.
Usimsahau Samia, mungu wako katika hao "wanawake wasutaji", maana yeye kishathibitisha kwa matendo kabisa uwezo huo.Hizi ni kama kelele za wamama wasutaji tu
Ni kama huna akili kichwani mwako kabisa.Kama hatawali mbona hatukuwaona kitaani alipopiga marufuku msitoke?
Samia ni mhalifu anayesubiri tu wakati wake kuwajibishwa kwa uovu aliofanya na anaoendelea kufanya.Unaleta vijineno vya wavaa vijora kwenye ukweli!!
Maneno ya kwenye khanga tu hayo ya wavaa vijora uswahilini.Usimsahau Samia, mungu wako katika hao "wanawake wasutaji", maana yeye kishathibitisha kwa matendo kabisa uwezo huo.
Ni kama huna akili kichwani mwako kabisa.
Jambazi anapotokea mtaani kwenu utakuwa mwehu kujitokeza nje, hili pia unataka hadi uelezwe. Huna uwezo kabisa wa kulitambua mwenyewe?
Samia ni mhalifu anayesubiri tu wakati wake kuwajibishwa kwa uovu aliofanya na anaoendelea kufanya.
Sasa mtu kama wewe unayejifanya tu kwamba haya huyaelewi, hilo ni swala tu la shibe unayoipata tokana na uhalifu anaofanya huyo anayekufuga kama nguruwe.
Kwa hiyo hii inatofauti gani kati yao hao majambazi' kwa kuwa mmoja kafunga nchi nzima ambayo badoi inamtafutia dawa yake ya kumwajibisha? Huoni akili yako ilivyo fupi?NB: Jambazi anaweza kufunga mtaa watu wasitoke ndani, lkn Samia anaweza kuifunga nchi nzima asitoke mtu ukiwemo wewe Muha Mbishi. Tutajie wa kwako mwenye jeuri hiyo.
Tofauti ni kwamba Samia akikwambia usitoke ndani kwako unaufyata!Kwa hiyo hii inatofauti gani kati yao hao majambazi' kwa kuwa mmoja kafunga nchi nzima ambayo badoi inamtafutia dawa yake ya kumwajibisha? Huoni akili yako ilivyo fupi?
Jambazi yeyote hufanya hivyo ili asishughulikiwe; lakini mwisho wa siku jambazi huyo atadhibitiwa tu kama atakavyodhibitiwa Jambazi Samia.Tofauti ni kwamba Samia akikwambia usitoke ndani kwako unaufyata!
Hapo bado unabisha Samia kutawala TZ?
Tupe mfano wa jambazi aliyewahi kuamuru vyombo vya ulinzi nchi nzima vidhibiti Raia wasitoke majumbani mwao mpk wewe na kina Heche mkaufyata ili ku justify ujambazi wa SamiaJambazi yeyote hufanya hivyo ili asishughulikiwe; lakini mwisho wa siku jambazi huyo atadhibitiwa tu kama atakavyodhibitiwa Jambazi Samia.
Mtu hakuliswi anapambania vibaraka wake unategemea nani atatishika Sasa 😂😂Sina haja ya kuandika mengi.
Tazama video mwenyewe.
Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.
Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.
Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.
View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC
Hujawahi kumsikia Mama Sheikh wa Bangladesh?Tupe mfano wa jambazi aliyewahi kuamuru vyombo vya ulinzi nchi nzima vidhibiti Raia wasitoke majumbani mwao mpk wewe na kina Heche mkaufyata ili ku justify ujambazi wa Samia
Hebu acha wazimu. Unazunguuka kwa ubishi kama Muha.Hujawahi kumsikia Mama Sheikh wa Bangladesh?
Wewe kweli ni kiazi mbatata hasa!
Unapomtetea Samia mtu mwovu kabisa na kusahau kuwa ni mtu hafifu anayesubiri tu kuwajibishwa unaonyesha uduni wa fikra zako.
Wewe ni mpumbavu mmoja anayedhani Samia atakusaidia chochote wakati anakufuga tu kama nguruwe.Hebu acha wazimu. Unazunguuka kwa ubishi kama Muha.
Nimekwamba toa mfano wa jambazi aliyewahi kuamuru watz nchi nzima wasitoke ndani na wewe na kina Heche mkaufyata. Acha ubishi wewe, au we ni Muha kweli nini!?
Sasa unataka mfano gani zaidi ya huo niliokupa hapo, au hata huyo Jambazi wa Bangladesh hukuwahi kumsikia?Hebu acha wazimu. Unazunguuka kwa ubishi kama Muha.
Nimekwamba toa mfano wa jambazi aliyewahi kuamuru watz nchi nzima wasitoke ndani na wewe na kina Heche mkaufyata. Acha ubishi wewe, au we ni Muha kweli nini!?
Labda hujui Kiswahili.Wewe ni mpumbavu mmoja anayedhani Samia atakusaidia chochote wakati anakufuga tu kama nguruwe.
Kama umekubali kuwa nguruwe wa Samia, usiwahusishe wasiokubali hali hiyo duni inayokukabili wewe.
Subiri tu hapo matokeo ya wanaokataa ujinga huo watakapomaliza kazi ya kulifurumusha jambazi linalokufuga wewe.
Kama utaona shida kuondolewa kwenye utwana huo wa kuwa mfugo, itakulazimu uwe kitoweo tu baada ya jambazi kudhibitiwa.
Vimaneno vyako unavyoleta humu havitakuwa na msaada wowote kwa hilo jambazi lako.
Sina haja ya kuandika mengi.
Tazama video mwenyewe.
Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.
Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.
Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.
[URL unfurl="true
German East Africa (Modern-Day Tanzania, Rwanda, Burundi: 1890–1918)
- The Maji Maji Rebellion (1905–1907): A massive uprising against German colonial rule and forced cotton-growing policies was suppressed using a brutal scorched-earth policy (burning crops, villages, and food supplies). [1, 2]
- Casualties: An estimated 200,000 to 300,000 Africans died, largely from engineered famine and warfare. [1]
- The Hehe Wars (1890–1898): Early resistance led by Chief Mkwawa against German expansionism resulted in widespread destruction, punitive military expeditions, and the decapitation of Mkwawa, whose skull was taken to Germany before later being returned. [1]
- Human Remains and Cultural Looting: German colonial forces stole thousands of cultural artifacts and human remains (skulls and bones taken for "racial" and scientific research), which have been the subject of ongoing restitution talks and repatriation efforts. German leaders have since expressed regret during visits to Tanzania, as reported by Deutsche Welle. [1, 2]
Other Regions (Cameroon, Togo, and Central Africa)
" media="youtube:bSQD4I9A0Iw"]
- Punitive Expeditions: The German military carried out violent "punitive expeditions" to crush local resistance in Cameroon and Togo.
View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC[/URL]
Mhalifu Samia anapokujaza tumbo lako na mabaki ya chakula unasahau kabisa juu ya ujambazi wake. Hili halimshangazi yeyote!Labda hujui Kiswahili.
Hivi kuna jambazi anayeweza kuamuru majeshi yote ya nchi yakudhibiti wewe, TEC, Heche & Co msitoke ndani kwenu?
Unatoa jiiingi then unakuja kuandika pumba tu humu. Hata ukimuuliza Lissu, Padri Kitima nk watakuambia Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Ila kwa alivyopatikana ndo watakwambia ni Rais "haramu".
Umekalia ubishi tu kumbe kichwani uko empty kabisa..
Unazunguuka na maelezo maeefuuuu. Simply we tuambie tu ni nani mwingine aliyewahi kuwaamuru wewe, TEC, Heche & co. Msitoke ndani na nyote mkaufyata nchi nzima. Kisha useme hapa umewahi kuona nani mwingine ana uwezo huo zaidi ya Amiri Jeshi MkuuMhalifu Samia anapokujaza tumbo lako na mabaki ya chakula unasahau kabisa juu ya ujambazi wake. Hili halimshangazi yeyote!
Sasa subiri kidogo hapo jambazi atakapodhibitiwa uone kama utapata tena nguvu za kuja humu JF na kupoteza muda tu kwa kujaza takataka kama hizi.
Ukitambua jambo hili moja tu, naachana na mwenda wazimu kama wewe, kwa sababu huna lolote la maana kuendelea na wewe.Unazunguuka na maelezo maeefuuuu. Simply we tuambie tu ni nani mwingine aliyewahi kuwaamuru wewe, TEC, Heche & co. Msitoke ndani na nyote mkaufyata nchi nzima. Kisha useme hapa umewahi kuona nani mwingine ana uwezo huo zaidi ya Amiri Jeshi Mkuu