ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #41
Haitakiwi kabisa maana italeta uvunjifu wa amani.Siasa ikizingua dini huingia
Sema kunahatarisha Wizi wa CCM, siyo Mshikimano wa Kitaifa;Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Historia ya kanisa kulitenga na siasa zinazohusu waumini wao ni kujidanganya. Kama ungekuwa mkweli katika hili ungeanza kukemea viongozi wa kisiasa hasa watawala kutumia majukwa ya dini kutoa au kuzungumzia sisa. Mfano:Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Haya ni maneno ya shehe ubwabwa kabisa..Matumizi ya akili ni madogo sana. Elimu Elimu Elimu.Achana na Palestine,hapa Bongo Huwa wanawapa kichapo harafu mnamwachia Yesu 😆😆
Huoni Pakistan inavyowatembezea kichapo India?
Huoni USA na Israel qanavyohangaika na Hamas tuj Hadi kamasi zinawatoka?
Kinukisheni tuone mtakavyochezea kichapo nitakuwa upande wa washindi 😆😆
Hao waliosema hivyo ndiyo wajinga Pro, maana tangu dini inaanza kuwepo duniani haikuwahi kutenganishwa na siasa.Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Kwani viongozi wa dini si wanakemea maovu yanayofanywa na wanasiasa ambao ni waumini wao kama vile wanasiasa wanavyowapa maelekezo viongozi wa dini kwenye mikoa na maeneo ya utawala?Hapana sio kweli,hoja ni Viongozi wa dini wasijigeuze Wanasiasa maana hakuna Wanasiasa viongozi wa Dini.
Viongozi wa dini tunawaona wanaongelea haki, labda unawaona wanaegemea vyama fulani kwakuwa kuna chama fulani kinaongelea haki. Ni hivi, mabadiliko yakifika yamefika, hata mfanye hila kiasi gani, hamna uwezo wa kuzuia mabadiliko💉💉💉💉
Ni wewe na hao wenzako! Halafu usiulize "wenzangu akina nani" maana jibu lake ni kwamba; unawajua.Swali, nataka majibu
🚮🚮🚮Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Hata Yohana mbatizajiNadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Ila walipo sapoti kupigania uhuru walikua wema...? kmmkNadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Mbona Josephat ni Askofu kadhalika ni mbunge wa jimbo la Kawe na amani kwenye majimbo ya Kawe na Ubungo imedumu? 😁🇹🇿Haitakiwi kabisa maana italeta uvunjifu wa amani.
Viongozi wa dini wanatoka wapi na wanaishi wapi na ni kwaajili ya nini na ya naniNadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Bibi yako anavimba bichwa kila siku kwa kusifiwa uongo, au umekuwa kiziwi na kipofu huoni?Hakuna mwanasiasa amewahi omba kusifiwa na Kiongozi wa dini.
Taja uongo mmja tuu anaosifiwa nao na Je umewahi waulize wanaomsifia nikwemo Mimi kuhusu huo uongo?Bibi yako anavimba bichwa kila siku kwa kusifiwa uongo, au umekuwa kiziwi na kipofu huoni?