ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #141
Kukemea kipi wakati wanampigania mtu wao Lisu? Mbona hawaoni matamshi ya kihaini ya huyo muumini wao na homeboy wa Kitima?Yaani wanahesabika wachochezi kwa kukemea Mauaji,Utekaji,Udikteta,Wizi,Uvunjaji wa Haki za binadamu,nk?
Dunia kuna haki? Naomba nawe ujibu hili swali.Duniani Kuna Haki? Kama dini inatoa Haki Mahakama ni za kazi gani?
Hakuna haki hasa Kwa mtu wa kawaida,Mahakama zipo kutafuta fairness na kuhalalisha maamuzi yanayoitwa ya Haki japo sio lazima yawe ya Haki.Dunia kuna haki? Naomba nawe ujibu hili swali.
Kumbe kuna watu wengine wana akili na kukataa kuwa chawa kama mimi. Nilijua nimebaki peke yangu nchi nzima nisiyekubali kuwa chawa wa lile libibi.Mtanyooka tu mbwa nyinyi. Na mkiendelea kukaza mafuvu yenu kitakacho watokea hamtokuja kukisahau. Endeleeni tu kuua na kujeruhi raia wasio na hatia; kisa tu wamewakosoa. Adhabu yenu iko njiani.
Mnatamani kila mtu ageuke kuwa CHAWA siyo! Huu upuuzi hauwezekani hata kidogo. Mbona mkiombewa na hao viongozi wa dini, mkisifiwa na kutukuzwa, hatuwaoni mkilalamika?
Kwa hiyo unajipinga mwenyewe kwa kusema "kama dini zinatoa haki, mahakama ni za kazi gani" ?Hakuna haki hasa Kwa mtu wa kawaida,Mahakama zipo kutafuta fairness na kuhalalisha maamuzi yanayoitwa ya Haki japo sio lazima yawe ya Haki.
Dini haziwezi fanya hio kazi ila zitachochea uvunjifu wa amani.Kwa hiyo unajipinga mwenyewe kwa kusema "kama dini zinatoa haki, mahakama ni za kazi gani" ?
Umesema kweli sisi kama Wasabato twahitaji sana kujitizamaWasabato hamna wingi wowote wa kubadilisha chochote kwenye Nchi yoyote, kuzeni kanisa lenu Kwanza ndio mshauri kuhusu dini na siasa.
Sikiliza nani anaisisitiza hiyo statement, ni mwanasiasa, hawapendi kukosolewa, na hofu yake kuu ni kuingiliwa kwenye kula keki ya watawaliwa.Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Usisiem ushakuharibu akili utterly!!Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Kitu hujui ni kwambaNadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Wako sahihi na ndivyo inatakiwa.Utatumikia mabwana wangapi?Kitu hujui ni kwamba
Wasabato hawamasishi siasa makanisani , au kiongozi (mchungaji) akagombee au kuunga mkono chama flan, hawataki uwe mchungaji muda huo una kadi ya chama kama akina Gwajima. Kikubwa usitumikie mabwana wawili
YapKuwazuia ndio kama alichofanyiwa Fr. Kitima ?
Ndio maana wanaweza hatarisha amani ya Nchi