Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Ipo siku kifaa kitajileta na utashindwa kuchomoa
 
Kwa hali ya sasa wanafunguka kabisa, wengine wanakwambia usiponishughulikia wewe, unataka nani anishughulikie?​
 
Wewe fala, huo ni utani wa kawaida sana mjini
 
Kwa hali ya sasa wanafunguka kabisa, wengine wanakwambia usiponishughulikia wewe, unataka nani anishughulikie?​
Kweli kabisa
Wanatia huruma sana
Nataka niongeze wa Tatu kwani wapo wengi sana na wanazeeka haraka inabidi tubebane tu hakuna jinsi

Ila wengi wao wavivu sana hawataki kufanya kazi wao wanataka kulishwa tu

Waache tuwafariji kiaina kama hawataki uhalisia
Wengine kuomba imekuwa kazi rasmi
 
Mie juz kati nilikuwa beach flan hivi.. ghafla kikaja kimemo mezani.. nikakisoma nikakausha, wale wadada walikuwa kwa juu yaan kama kuna kighorofa hivi cha mbao.

Nikawa nakula gambe mwenyewe mdg mdg ghafla akaja tena mwingine apart from wale huyu yeye alikuja kama mwakilishi kaja tyr kaandika 0 kwenye dial pad. Nikamalizia digits zilizofata hapo hapo ikaja text.. the rest is history.

Hawa Wanahisia pia, ila nilichojifunza kwa kila namna jitahidi kujiweka serious. Watu serious ndio wanakumbana na changamoto za mitongozo compared to wale wenye mapepe.
 
Mapepe/wacheshi wanatafuna warembo sana usidanganyike.
Wanawake wengi hawapendi casual relationship na mwanaume mikausho/gubu.

Bali wanawake wanataka mume kauzu pia.

Unisome vizuri usichanganye habari mbili tofauti nilizoziongelea
 
Mapepe/wacheshi wanatafuna warembo sana usidanganyike.
Wanawake wengi hawapendi casual relationship na mwanaume mikausho/gubu.

Bali wanawake wanataka mume kauzu pia.

Unisome vizuri usichanganye habari mbili tofauti nilizoziongelea
Hivi unajua maana ya mtu Mapepe?

Mtu unaweza kuwa serious na bado ukawa mcheshi.. ndio hapo baadae akikuzoea sana atakuweka wazi utofauti aliojionea.

Ukikutana na mimi kwa mara ya kwanza utasema hili jamaa halicheki na kima, ila kaa mezani tuongee ndio utagundua ulikuw unajidanganya.

Mtu Mapepe ni yule mwenye makuzi, utoto, sifa, mbwembwe nyingi mbele za watu.. mtu wa hivi hatongozwi na Mwanamke never
 
kwa mfumo huu wa haki sawa wanaume tutakua tunawaona wanawake wakawaida tu yan wao watakua wahangaika kututafuta pia uwepo wa mambo ya mashoga ndo kabsa
Kwa ujumla inaonekana wanaume halisia ni wachache sana, ndio maana wanawake wengi nyakati hizi hawaolewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…