Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Good man are a rare

Naomba nichangie Uzi huu kuwa wanaume wale wanajiita musculinity ambao wapo na upendo na wanajua namna kumu handle Mwanamke had wapo wachache Sana na ukiangalia wanawake wote wanawahitaji so inakuaga ngumu Sana .

Kila mwanamke anahitaji mwanume smart Good man musculinity na hao wanaume tupo wachache na tunahesabika so nadhani mtoa Mada yupo katika hili kundi la musculinity na lazima atongozwe Sana.
 
Tatizo wanaume nao wanaolewa, sasa nani ataoa hao wanawake?
Hao wataolewa tuu wala usijali...ilisha andikwa kiwa wanawake saba watamkimbilia mwanaume mmoja ili tu waitwe ka jina lake. Patience is a virtue wee linda afya yako. Mambk mazuri yanakuja huko mbeleni, yaani mbususu zinaomba uzigegede
 
The future is female
 
Una umri wa miaka mingapi mkuu?
 

Mtaalam ushasema case closed, washaelewa
 
Mkuu una bahati sana.
Mimi ni mdogo wako lkn ukiachana na huyo uliyekutana naye kwa njia aliyotumia alijitahidi sana kuvumilia.

Mimi nilishachanwa waziwazi mara nne na wanawake,wasichana lkn sikushangaa kwani na wao ni binadamu wana hisia.

Wawili walifanikiwa na mmoja kati ya hawa wawili nilimuoa ijapo miaka 8 baadae tuliachana.

Wawili hawakufanikisha kabisa ila ktk hali ambayo haikuwa na athari kubwa sana kwani niliwachukulia positively na mmoja kati ya hawa ni rafiki yangu wa karibu mpaka leo.
 
Kwasababu nao wana hisia na wanajitambua

Ama ni illegal kuelezea hisia kwasababu ya kuwa mwanamke?
Ni haki kuelezea Hisia, ila ukweli ni kwamba Mwanaume ndio anapaswa kuanzaa, yaani tukiongelea nature na tamaduni.. Hii ya kisasa tunafosi tu.. Ila ukweli wanaume wengi wanaotongozwa na wanawake they feel low, hata wakiwa ktk mahusiano wengi wanaona wajibu wao umechukuliwa na mwanamke, huwa wa nawaza kama alinitongoza yeye, si anaweza ongoza wengine? Mara nyingi huwa wasumbufu ktk mahusiano just to demand their position as man maana they feel ilitekwa wakati anakubali kutongozeka.. Hugeuka kuwa kama chumaulete kwa wanawake.. Yaani so demanding... Ndio unaona wadada wa nahangaika Sana kuwapa kila kitu ili wasiwaache... Yaani kama unamtu wa hivyo... Hesabu tu huna mpenzi... Tembea tu.. Mwombe Mungu akupe atakae kupenda🙏
 
Ila sijaona alipokutongoza ujue au sijasoma vizuri

Halafu dhana ya tumetoka mbali haina mashiko siku hz kaka
Unaweza kutana na mtu mwezi huu miezi mitatu mbele anakuwa life partner na mnafika mbali

Ndio inawezekana ila muwe mnafana fanana sehemu nyingi.. sio mmoja tajiri ana mali kibao.. mwingine anamiliki lipstic, viatu na mikoba halafu aseme mnafika mbali huku anakutaka sababu ya faida zake kiuchumi
 
Ndio inawezekana ila muwe mnafana fanana sehemu nyingi.. sio mmoja tajiri ana mali kibao.. mwingine anamiliki lipstic, viatu na mikoba halafu aseme mnafika mbali huku anakutaka sababu ya faida zake kiuchumi
Ukimpenda wala hutoangalia visababu vidogovidogo km hvyo
 
Ukimpenda wala hutoangalia visababu vidogovidogo km hvyo

Endelea kujidanganya.. pia kumpenda mtu sio sababu ya kufunga nae ndoa. Kuna vitu vinafanya ndoa ifungwe

tazama ndoa zinazofungwa.. kama bwana harusi ni mambo safi unakuta na mwanamke ni mambo safi ama ana kipato kilichonyooka

Tambua Marriage is a legally binding contract.

Sasa What fool doesn’t want to know the other party’s strengths? Kabla hajafunga nae ndoa
 
Aisee..yaani tukio moja tu umefanya majumuisho kwa wote..sidhani kama sampuli yako ni sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…