Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Huyo rafiki yako alijitesa tu nafsi yake kwa complications kama wanavyofanya baadhi ya Waislam ku complicate. Ukweli ni kuwa katika Uislam hakuna complications katika mambo ya ndoa. Ni taratibu za kishariah zinafuatwa ndoa inafungwa

حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ، حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ وَهْبٍ، عَنْ سَعِيدِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ الْجُهَنِيِّ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ عُمَرَ بْنِ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ لَهُ ‏ "‏ يَا عَلِيُّ ثَلاَثٌ لاَ تُؤَخِّرْهَا الصَّلاَةُ إِذَا آنَتْ وَالْجَنَازَةُ إِذَا حَضَرَتْ وَالأَيِّمُ إِذَا وَجَدْتَ لَهَا كُفْؤًا ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ غَرِيبٌ وَمَا أَرَى إِسْنَادَهُ بِمُتَّصِلٍ ‏.‏

Grade:Sahih (Darussalam)
Reference: Jami` at-Tirmidhi 1075
In-book reference: Book 10, Hadith 111
English translation: Vol. 2, Book 5, Hadith 1075
Eh aseee hadi kiarabu take it easy mzee
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Sasa kuoa na kuzika Kuna faida gani hapa duniani,ukifa wewe ni mzoga tu,
Raisi hata akiwa Islam,hata zikwa chapchap,ni protocal tu,
Badala ya kuwaza na kujilinganisha na vitu vyenye maana na thamani kiuchumi,sayansi,kilimo,nguvu za kijeshi,unajilinganisha na upuuzi,
Sasa hao Islam na taratibu zao za mazishi na ndoa,wanawazidi nini wachina,wahindi,wazungu?boers,?ni umaskini tu!!!
Ni Sawa Sawa na wakristo wanaoshinda makanisani,lakini wanaendesha maisha kwa ajira za mchina,muhindi,asiyeenda kanisani,anashinda anacheza kamari casino!!!sasa hapo mwenye akili Ni nani,unamsema mwenzio kuwa mpagani,mtu wa mataifa!!lakini ndio anakuweka mjini hapa kwa ajira aliyokupa
 
Top 10 ya matajiri tanzania na ile ya africa imejazwa na waislamu, unalijua hilo?
 
Ni mwanamke wa kiislamu. Tena ilikuwa hivi.
Tupo kwenye basi tunatoka Arusha sasa njiani basi likasimama kupisha watu waliokuwa wamebeba mwili wa ustadhi wanaupeleke mkisikitini kuuswalia na wapo wanaume tu.
Ndiyo mtu mmoja akauliza, kwanini wanawake hawaruhusiwi kwenda kuzika? Likatoka hilo jibu

Katika majibu yake hajakosea sana.

Ni kwamba hali ya ustahimilivu ya wanawake wengi kwenye matukio ya simanzi na majonzi katika misiba hususan vifo sio sawa na ustahimilivu (forbearance) kwa wanaume, wanaume tumeumbwa kuhimili na kustahimili shida, mateso, adhabu na kila aina ya mikasa na matukio mabaya na katika hili sina haja ya kueleza kwa kirefu kwani ni jambo linalofahamika sana.
Ni kutokana na hali hiyo ndio maana wanawake katika Uisilamu wamezuiliwa kuhudhuria katika maziko makaburini, baada ya taratibu za maziko kukamilika kinachofuata ni shk kutoa nasaha kwa waliohudhuria na mwishowe hufanywa maombi ya pamoja kwa ajili ya marehemu na matukio yote hayo yanahitaji hali ya utulivu, sasa tuseme wawepo wanawake watatu tu ambao wanaouhusiano wa karibu sana na marehemu na wakashindwa kustahimili kumuona mpendwa wao akifukiwa ( japo kishakuwa maiti) hali itakuaje??!! Pia Kumbuka kwamba wanawake wanayo tabia ya kuambukizana vilio, yaani akianza mmoja kulia na kugalagala basi sehemu kubwa ya waliopo nao wataanza kulia na kugalagala katika hali hiyo kazi itakuwa mara mbili, kwanza kuwadhibiti hao wanawake na pili kumzika/kumsitiri huyo marehemu, sasa shida yote hiyo ya nini??-- ndio maana katika Uisilamu kina mama wakakatazwa kuhudhuria kwenye maziko/makaburini.

Ni hicho tu lakini kusema kwamba hao wanawake kwa kugalagala watamuongezeaa adhabu marehemu hiyo sio kweli.
 
Hakna Sheria ya Kikristu inoruhusu wanandoa kuachana sababu ya uzinzi elwa Hilo kwanza! Kutoa roho ya mtu inaruhusiwa? Ustaarabu mzur Ni ndoa zidumu hakna blah blah mmezaa watoto so wanahtaj malezi yenu nyote baba na mama

Wewe ni mristo kweli au ni mristo jina ??.

Wakristo waliofunga ndoa ya kikristo hawawezi kuachana kwa hali yoyote isipokuwa uzinzi tu, yaani kama Mke kabainika kufanya zinaa ni hapo tu ndipo mume anaweza kumuacha mkewe.

Soma injili uujue ukristo wako vyema.
 
Muhammad aliweka Sheria ukitoa talaka , huyo mwanamke hawezi kurudi kwako mpaka apigwe machine na mwanamume mwingine ndio arudi kwako mtoa talaka
-Yani mwanamke anaadhbiwa akiwa amepewa talaka kwa kwenda kwa mwanume mwingine apigwe pipe kwanza

Kisa kilicho leta hiyo Sheria
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari
Sheria sio ya Muhammad bali ni Sheria ya mwenyewe MUNGU!

Mtume Muhammad (peace be upon him) katumwa kama mjumbe wa Mungu kuja kutubainishia haki wanaadam.

Na sheria ya ndoa ya uislam inatambua talaka 3 , pindi mume anapompa mkewe talaka tatu hatakiwi aendelee nae mpaka aolewe na mtu mwingine endapo huko akiachika pia kwa talaka 3 ndipo huyu wa kwanza ataruhusiwa kumuoa upya huyo mwanamke.
 
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.
Hizi ni tabia za watu wasiostaarabika/primitive/nomadic people. Wamasai ukifika wanakuacha kwenye kanyumba uliwe na fisi wao wanatimka, unapenda hiyo?
 
Wewe ni mristo kweli au ni mristo jina ??.

Wakristo waliofunga ndoa ya kikristo hawawezi kuachana kwa hali yoyote isipokuwa uzinzi tu, yaani kama Mke kabainika kufanya zinaa ni hapo tu ndipo mume anaweza kumuacha mkewe.

Soma injili uujue ukristo wako vyema.
Sina mda wa kubishana nawewe! Imeandikwa wataachana kwa sababu ya uasherati sio uzinzi,unakua mbishi kwa Vitu usivyovijua, haya Google ivi mathayo 5:32 af ukipata jibu Nini limeandikwa ulete mrejesho
 
Sina mda wa kubishana nawewe! Imeandikwa wataachana kwa sababu ya uasherati sio uzinzi,unakua mbishi kwa Vitu usivyovijua, haya Google ivi mathayo 5:32 af ukipata jibu Nini limeandikwa ulete mrejesho

Hivi wewe ni mtu wa wapi usiyejua kiswahili ??!!---- Tofauti ya uasherati na uzinzi ni nini??

Au ni wakati gani mtu anakuwa muasherati na ni wakati gani mtu anakuwa mzinzi??
 
Nakujibu coz nahitaj kukufungua akili! Uzinzi huhusisha wanandoa lazima mtu awe ameoa ndo azini, lakini uasherati unahusisha wasiooa ,nadhani umenelewa
Hivi wewe ni mtu wa wapi usiyejua kiswahili ??!!---- Tofauti ya uasherati na uzinzi ni nini??

Au ni wakati gani mtu anakuwa muasherati na ni wakati gani mtu anakuwa mzinzi??
 
Hizi ni tabia za watu wasiostaarabika/primitive/nomadic people. Wamasai ukifika wanakuacha kwenye kanyumba uliwe na fisi wao wanatimka, unapenda hiyo?
Kwani Waislam ndio wanafanya hivyo?

Watu mliostaarabika ndio mnakaa na maiti siku 7 mpaka kumi bila kuizika? Kwani mnasubiri ifufuke? Watu mliostaarabika mnaizika maiti na mali ambayo inatakiwa irithiwe na warithi wake nyinyi mnakwenda kuizika kaburini? Maiti yake sanda, suti zivaliwe na walio hai. Mikufu na macheni, Pete, hereni na vito vyengine haviendi kuzikwa bali vinabaki kwa walio hai kwa sababu ndio wanastahiki.

Uislam umeviweka vitu mahala pake panapovistahiki. Maiti ina haki zake pia. Na heshima yake inahifadhiwa. Na wakati huo huo, kila jambo linawekwa mahala pake.
 
Nakujibu coz nahitaj kukufungua akili! Uzinzi huhusisha wanandoa lazima mtu awe ameoa ndo azini, lakini uasherati unahusisha wasiooa ,nadhani umenelewa

Unajiona mjuzi kumbe hamna kitu,

Hata kwa hiyohiyo tafsiri yako mbona unajipinga mwenyewe??

Mimi nilisema ndoa ya kikristo inavunjika kutokana na mmoja wa wana ndoa akutwe na uzinzi, sasa ulikuwa unapinga kitu gani ilhali wewe mwenyewe hapo unasema uzinzi unahusika na watu waliooana!!!.

Uasherati/umalaya ni hali ya kufanya uzinifu/uzinzi kama sehemu ya maisha, kwa maneno mengine ni kitendo cha kujamiana mwanamke na mwanaume bila kuwa ndani ya ndoa. Hivyo huwezi kutenganisha uzinzi na uasherati.
 
Back
Top Bottom