Huyo rafiki yako alijitesa tu nafsi yake kwa complications kama wanavyofanya baadhi ya Waislam ku complicate. Ukweli ni kuwa katika Uislam hakuna complications katika mambo ya ndoa. Ni taratibu za kishariah zinafuatwa ndoa inafungwa haraka bila complications tunazojiwekea wenyewe.
Pia mazishi katika Uislam yanatakiwa yaharakishwe, haijalishi uwezo. Wanakufa wafalme katika nchi za Kiislam ambao ni matajiri kweli kweli na wanazikwa siku hiyo hiyo. Unataka kuniambia hawajiwezi. La! Bali ndio utaratibu wa kiislam.
Jami` at-Tirmidhi 1075
Ali bin Abi Talib narrated that:
The Messenger of Allah said to him: "O Ali! Three are not to be delayed: Salat when it is due, the funeral when it is presented, and (marriage) for the single woman when someone compatible is found."
حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ، حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ وَهْبٍ، عَنْ سَعِيدِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ الْجُهَنِيِّ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ عُمَرَ بْنِ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ لَهُ " يَا عَلِيُّ ثَلاَثٌ لاَ تُؤَخِّرْهَا الصَّلاَةُ إِذَا آنَتْ وَالْجَنَازَةُ إِذَا حَضَرَتْ وَالأَيِّمُ إِذَا وَجَدْتَ لَهَا كُفْؤًا " . قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ غَرِيبٌ وَمَا أَرَى إِسْنَادَهُ بِمُتَّصِلٍ .
| Reference | : Jami` at-Tirmidhi 1075 |
| In-book reference | : Book 10, Hadith 111 |
| English translation | : Vol. 2, Book 5, Hadith 1075 |